Recent content by mosed

  1. M

    Je, Ni kweli Mungu ndio mwenye enzi yote?

    Ni kama nlivosema mwanzo, Biblia inasema "Ukimkiri Yesu kwa kinywa chako utaokoka" ina maana kwamba Mungu anataka umkubali ukiwa na akili yako timamu kabisa, ndo maana hata kwenye bustan ya eden aliweka lile tunda ila akasema "msile" akiwa anataka kumheshimu na kufuata maelekezo yake, angeweza...
  2. M

    Je, Ni kweli Mungu ndio mwenye enzi yote?

    Anayo, anatambuliwa kuwa muuaji, na baba wa uongo. Ndo heshima yake hiyo. Kwenye kusema uongo yeye ndo kiboko ya wote. Yohana. 8:43‭-‬44 Mbona hamyafahamu hayo niyasemayo? Ni kwa sababu ninyi hamwezi kulisikia neno langu. Ninyi ni wa baba yenu, Ibilisi, na tamaa za baba yenu ndizo mpendazo...
  3. M

    Je, Ni kweli Mungu ndio mwenye enzi yote?

    Ni kweli, Mungu ndiye mwenye mamlaka yote, tena si duniani tu bali mpaka mbinguni, so huwezi linganisha Mungu na shetani. Labda ndoja nikupe historia kidogo, shetani alikuwa malaika wa Mungu, tena alikuwa anaongoza malaika wengine, ila baada ya muda akapata mawazo mabaya kwamba kwa nini naye...
Back
Top Bottom