Recent content by MoSantu

  1. MoSantu

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa kichawi: Hivi haya mambo yapogo kweli? Maana kuna wimbi la vijana wanapigwa pesa kimya kimya

    Me ni masikini wa marafiki wa pumbavu kama wewe, sema kama unataka kazi nahitaji wafanyakazi kama wewe waje kusimamia mashamba yangu.
  2. MoSantu

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa kichawi: Hivi haya mambo yapogo kweli? Maana kuna wimbi la vijana wanapigwa pesa kimya kimya

    Sasa maduka ya mtaani utafananisha competition yake na sinza au makumbusho?
  3. MoSantu

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa kichawi: Hivi haya mambo yapogo kweli? Maana kuna wimbi la vijana wanapigwa pesa kimya kimya

    Kwa mawazo yako haya hata kama Mimi ndio mtoa ndagu nitasitisha, tena nikufukuze na ukileta usumbufu nikuchape na mamiwata.
  4. MoSantu

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa kichawi: Hivi haya mambo yapogo kweli? Maana kuna wimbi la vijana wanapigwa pesa kimya kimya

    Fungua Biashara ya competition alafu uje urudie kusoma ulichoandika apa🚮
  5. MoSantu

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa kichawi: Hivi haya mambo yapogo kweli? Maana kuna wimbi la vijana wanapigwa pesa kimya kimya

    Kuna mmoja wa mwanza ana pesa majumba ndio usiseme
  6. MoSantu

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa kichawi: Hivi haya mambo yapogo kweli? Maana kuna wimbi la vijana wanapigwa pesa kimya kimya

    Well, Kitabu cha Timothy i think sijajua ukurasa wa ngapi mambo mengi nasahau but Kuna kitu kinasema "Money is the root of all evil" hapo tunapata picha kwamba pasingekuwepo pesa basi mambo mengi ya kiovu na kutisha yangekua ni stori tu. Hapo Zamani wazee wetu walikua wanatumia uchawi kama...
  7. MoSantu

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa kichawi: Hivi haya mambo yapogo kweli? Maana kuna wimbi la vijana wanapigwa pesa kimya kimya

    Sorry for interrupted mkuu. Hivi Kwanza unajua pesa ni roho(spirit) ? that why ukiifanyia vibaya inakukataa na ukiifanyia vema inakushika. Utasoma vitabu sana na mafunzo yote Ila ingia kwenye field uone kama utapata hizo pesa pasipo kua Darkside. Ipo hivi wewe unaweza Kua mwema kabisa na...
  8. MoSantu

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa kichawi: Hivi haya mambo yapogo kweli? Maana kuna wimbi la vijana wanapigwa pesa kimya kimya

    Wewe ujazunguka Kwa waganga Bali Ni matapeli. Kingine ndugu yangu sio kila binadamu ana karama au kipawa cha kumiliki pesa na mali. Vile tu Hao waganga wako hwakuambii ukweli maana watakosa pa Kula.
  9. MoSantu

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa kichawi: Hivi haya mambo yapogo kweli? Maana kuna wimbi la vijana wanapigwa pesa kimya kimya

    Masikini siku zote ni marafiki na hasira😁
  10. MoSantu

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa kichawi: Hivi haya mambo yapogo kweli? Maana kuna wimbi la vijana wanapigwa pesa kimya kimya

    Usiseme Mali za kipuuzi maana hauna, we fanya Yote Ila mwenye pesa ndio mwenye nguvu. Period
  11. MoSantu

    JamiiForums Tanzania Historia ya Majini

    Njoo nikuonyeshe jini kaka Ila uwe na roho ya kiume
  12. MoSantu

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa kichawi: Hivi haya mambo yapogo kweli? Maana kuna wimbi la vijana wanapigwa pesa kimya kimya

    Endelea kuona Ni maneno, wenzio wanatoboa na kuwavimbia mjini kila siku.
  13. MoSantu

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa kichawi: Hivi haya mambo yapogo kweli? Maana kuna wimbi la vijana wanapigwa pesa kimya kimya

    Usilolijua Ni Sawa Na USIKU WA KIZA🙏🏽
Back
Top Bottom