Maombi kwa Mungu kwa kuomba rehema kwa kuwa ni jambo la kimungu na sio la kimwili zaidi ni kiroho Mithali 3:5-6 Mtumaini Mungu wako. Wapeleke kwa wachungaji waombee ukishindwa na mkono wa Mungu utawafungua.
Watoto wadogo Huwa wana kawaida ya ku-adapt mazingira yaliyowazunguka endapo familia ukiwa na ya wasomi au la.
Hivyo tabia ya kusoma kwa mtoto Huwa inajengwa nyumbani na inasimamiwa na watu wa nyumbani hasa wazazi.
Hili ni jambo muhimu Sana wadau tujue kama watoto wetu hatuwasimamii sisi...
Ndugu yangu mmoja alipata ujauzito akaishi nao vizuri lakini kwa bahati MBAYA kwake ulikua n mimba ya kwanza hivyo hakuwa anacheki mara kwa mara kama mtoto akicheza.
Hivyo last time Kabla ya kujifungua alihisikia vibaya na akapelekwa kliniki lakini muda aliokuwa anajisikia vibaya kumbe mtoto...
Nchi ya Tanzania ni nchi iliyobarikiwa Sana kwa rasilimali nyingi na yenye watu wenye wenye moyo na kuwajibika. Nchi yetu iliweza kupambana na kuondoa ukoloni na pia kuingiza sera ya ujamaa na kujitegemea.
Katika hili tunajivunia kuwa na viongozi waliokua na maono juu ya nchi yao na kuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.