Recent content by Moranimzee

  1. M

    JamiiForums Tanzania Kuitwa Ikulu kwa Wafanyabiashra wa kila Wilaya ni kielelezo cha usikivu na umakini wa Rais Magufuli. Kongole kwake!

    Safari ya zimbabwe imezaa matunda kwani aliona athari za mkwamo wa uchumi live
  2. M

    JamiiForums Tanzania Kiukweli nimeguswa sana na uchapakazi wa Rais Magufuli!. Je, kuna uhusiano kati ya kabila la mtu, na uchapakazi wake?. Je, 2020 kuna haja ya...

    Hivi Pascal njaa imekuwa kali zaidi nn maana post yako ya mapema hivi leo ulizungumzia hali ilivyo tete hadi umehama ktk jengo ulilopanga awali na kupunguza wafanyakazi sasa hivi unaleta ngonjera zingine acha kujaza server bana
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ahukumiwa jela miaka 10 kwa kuukashifu Uislam Facebook

    Tatizo waislamu kitu kidogo wamefura sijui kwa sababu dini ilienezwa kwa upanga! Muache Mungu awapiganie ila siyo nyie mumpiganie mungu kwani dini haitaji msuli mkubwa kuitetea
  4. M

    JamiiForums Tanzania Miaka 10 Iliyopita Ulikuwa Hivi, Leo Unadharau Hata Kwenye Magari Madogo?

    Hizi tabia zenu za kuchagua mtu kwa lengo la kukomesha upande flani haitaicha Taifa hili salama kwan badala ya kutumia ubongo kufanya maamuzi tunatumia moyo..anyway uzuri life linapokaza haichagui bavicha au uvccm
  5. M

    JamiiForums Tanzania Angalizo kwa vijana wa upinzani, hii awamu nyingine acheni siasa za matusi

    Kukosoa ni kukosoa tuu haijalishi umekosea kwa namna gani ila kwa sababu sisi ni waafrica kukosoa sio utamaduni wetu tunawachagulia wakosoaji wetu namna ya kukosoa kitu ambacho ni ujinga kwa kiwango cha std gauge
Back
Top Bottom