Habari zenu wapendwa tunauza mashine za kuangulia vifaranga(Incubator) bei poa pia ni automatic na zinaanzia mayai 50-1000 pia tunatoa elimu ya matumizi na ya uifadhi wa mayai karibuni sana.
habari zenu wapendwa?
tunauza Mashine za kuangulia vifaranga(Incubator) bei poa
pia ni automatic,,na zinaanzia mayai 50-1000.
pia tunatoa elimu ya matumizi na ya uifadhi wa mayai...karibuni sana
Hallo brother nimependa information yako kuhusu hao sungura, Kaka Mimi ninao wachache wa kienyeji sasa nitapataje wa kisasa maana wanasema wa kisasa huwa anafika mpaka kilo 9, kama unao Kaka mail yangu ni bmopia@yahoo.com
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.