Recent content by montomokolo75

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Bro Frank ustake nchekeee!!!! Eti train, sie wengine longtime tulishuka.Siku hizi si bet zaidi ya mechi 4.Kuchana bet slip mara chache sanaaa!!!Hata odds zikiwa ndogo lakini timu ya uhakika we cheza, ila weka dau kubwa. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo internet

    Nimejaribu laini zoteee, walau hìi ya Halotel afadhali kidogo .
  3. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo internet

    Halotel, mbona Infinix ya wife iko poa.Bro samsung tamuuuu! haikwami internal storage kubwa 32gb, ram 3gb, camera mp 13 kwa 8.Feature kibao,shida ni hiyo tu internet. Nikipata solution yake itakuwa poa sana.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo internet

    Nina samsung galaxy note 3, internet inanisumbua haswa nikiwa ndani.3g au H ni bahati sana kuipata, muda mwingi ni E .Otherwise kila kitu bomba .
Back
Top Bottom