Unaweza ukacheza quick match( jina lingine nimesahau ) au Unaweza cheza match of yje the day ukiwa offline bt kwenye mpango wa kucheza league na tips zingine lazma online
Fifa15 iko vizur sana ina ftr nyingi kuliko ata pes12 pia kwq upande grphs iko poa wachezaji wanaonekana clear ila sasa lazma uchexe ukiwa online means Internet accs lazima..
Kwa mimi navyo jua na lishacheza wait wengine wenye mawazo tofauti
Habar wakuu
natumia android ipo rooted.. nisaidie app ambayo naweza kuedit picha in high quality.. yaan iwe imesimama zile picha za wasanii jinc zilivyo.. kuondoa background na kuweka utakavyo..
Natumia android sina laptop ndo maana naitaji apps hiyo kwa android
Asante
Ndyp jepesi ila kwangu gumu naitaji kununua wachezaji.. naitaji kununua uwanja.. naitaji kununua wachezaji wenye kiwango.. ni vitu vingi sana nataka nifanye... money ndo kila kitu mkuu Will ze great
Asante mkuu CHIEF MKWAWA
Sasa hizo link ninatengeneza game manual maana yang ni hvi aliwi direct kama navyo download kwa play store...
Hivyo naomba unisaidie hiyo apk nikisha download naiweka wap pia iyo obb naweka wapi ili game litimie niweze kulicheza.. asante
Habar wanajamvi!!
Naomba link yoyote nitakayoweza kupata hilo game likiwa cracked ili nipata coins unlimited nakurifurahia.. nimejalibu kutumia lucky patcher lakin hawapi.. ukifungua wanataka addition ya obb ya game na mm siwez kutenga manual. . apk na obb ili game litimie nicheze.. mwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.