Recent content by monotheism apologist

  1. M

    JamiiForums Tanzania WACHIMBA VISIMA

    Kwa ninavyoijua jf hata ningeandika kurasa 5 kufafanua hili jambo lkn lazma kutokee watu ambao kimsingi sio wahitaji wa huduma hii ila wanasoma maelezo wapate pa kukosoa,kila mtu ni mjuaji humu ndani na kila mtu anavizia post za mwngne ili amkosoe yani ndio tumejizoesha hivyo humu. Anyways...
  2. M

    JamiiForums Tanzania WACHIMBA VISIMA

    Tunatoa huduma ya uchimbaji visima na kufanya hydrogeological survey. Gharama ya hydrogeological survey na kuchimbaji visima kwa mita hutofautiana kulingana na umbali wa site. Tafadhali wasiliana nasi; 0678418272 0676833297(WhatsApp) engmazengo@gmail.com
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ramani&ujenzi

    -Nyumba itakuwa na vyumba vitatu,kimoja master. -itakuwa na jiko,store,dinning,lounge na veranda. 99squire meter,inachukua eneo la 14/17m. Idadi ya tofali za block ni 1383 Idadi ya tofali za kuchoma ni 5511 Idadi ya bati ni 62 (futi 10) Ujenzi wa nyumba hii kuanzia mwanzo mpk mwisho ni...
Back
Top Bottom