POle sana Mkuu kwa tatizo la mtoto. Huu ugonjwa unasumbua sana,mimi nilikuwa muathirika wa tatizo hili nilipokuwa mtoto.Ila lilkuja kuisha lenyewe nilipofikisha 16 yrs, maana nilitakiwa mpk kufanyiwa operation.Ninachoshauri, mfuate masharti kama ya kutotumia vitu vya baridi,na nina imani...
Pole sana ndugu. Mimi mtoto wangu mwenye umri wa miezi 11, alipata Pnemonia, akawa anakohoa na kutapika na homa kali. Namshukuru Mungu nilimpeleka hospt moja mitaa ya kwetu Tabata, siku hiyo hali ilikuwa mbaya akaniambia ana Pnemonia,mpeleke hospt kubwa mkalazwe. Nikadecide kumpeleka Muhimbili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.