Tiba ya Asthma,Nimonia kwa mtoto mdogo

N

Nyakwaratony

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2011
Messages
575
Likes
18
Points
35
Age
34
N

Nyakwaratony

JF-Expert Member
Joined Dec 21, 2011
575 18 35
pole sana mkuu 1800... huwa nasikia kuwa kinyesi cha tembo ni dawa nzuri sana ya kutibu asthma.. ufukiza moshi wake.. ila sina uhakika.. unaweza tafuta watu wakuelekeze kuhusu hiyo dawa.
 
Last edited by a moderator:
NdasheneMbandu

NdasheneMbandu

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2012
Messages
940
Likes
2
Points
0
NdasheneMbandu

NdasheneMbandu

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2012
940 2 0
Mkuu 1800 Asali iwe asali mbichi safi ya nyki kiwango chake fanya kiwe kama kikombe cha kahawa na kitunguumaji kiwe kimoja tu Kikatekate Kichanganye Kwenye Asali Kiweke Masaa 12 Halafu Tumia Kiasi Kama Kipimo Cha Hospitali. tumia kwa muda wa siku 3 kisha uje hapa utupe maendeleo ya Mwanao yanakwendaje? Give me feedback.
Mkuu kwa mtu mzima dozi inakuwaje?
 
Last edited by a moderator:
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,012
Likes
5,432
Points
280
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,012 5,432 280
Mkuu kwa mtu mzima dozi inakuwaje?
Mkuu NdasheneMbandu nimesha sema Dozi ni kiasi cha hospitali hujuwa Hospitali wanatumia dozi ipi? kutwa mara 3 kila siku Asubuhi,mchana na usiku. kama ni mkubwa kijiko kikubwa kama ni mdogo kijiko kidogo kunywa.
 
Last edited by a moderator:
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,012
Likes
5,432
Points
280
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,012 5,432 280
Mkuu NdasheneMbandu MARADHI YA UGONJWA WA PUMU (ASTHMA) KWA WATU WAKUBWA DAWA HII:
Kila Tiba kati ya zifuatazo ni yenye kujitegemea: Chagua iliyo rahisi kwako.Isipokufaa ndipo uchague nyengine
TIBA 1:
Tafuta ujazo wa sawa kwa sawa wa Arkisusi,Habbat Soda,Sufa,Tangawizi,Zaatari,Zamda,Darufifil,Karafuu.lila moja gram 25
Twanga madawa hayo kwa pamoja mpaka upate unga wake.Chukua kijiko kimoja cha chai (5ml) cha mchanganyiko huu wa dawa,changanya na kijiko kimoja cha chakula (10ml) cha Asali.
Kunywa dawa hii kutwa mara tatu (1×3) kwa siku (7-11).

TIBA 2:

Changanya kijiko kimoja (5ml) cha mafuta ya Haba Soda na vijiko viwili vya ujazo wa 5ml vya asali.Weka kwenye kikombe cha kahawa (50ml),changanya na maji ya uvugu vugu.Kunywa kiasi hiki kutwa mara tatu (1×3).
Kisha jipake mafuta ya Haba soda kwenye koo,kifua na mgongo.Pia chukua kijiko kimoja (5ml) cha Haba soda uweke ndani ya kikombe au kibakuli chenye maji moto.Uwe unavuta mvuke wake puani asubuhi na jioni. Tumia Dawa kisha uje hapa unipe Feedback.

Ubarikiwe na kuongezewa siku zako za kuishi. Nadhani Tiba 2 imekaa njema zaidi. Labda haba soda ni nini na inapatikana wapi?
 
N

niibada

Member
Joined
Jul 6, 2012
Messages
40
Likes
0
Points
13
N

niibada

Member
Joined Jul 6, 2012
40 0 13
Ploe sana!! kama asali itashindikana tunaomba majibu tukupe dawa mbadala humu
 
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,012
Likes
5,432
Points
280
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,012 5,432 280
Ubarikiwe na kuongezewa siku zako za kuishi. Nadhani Tiba 2 imekaa njema zaidi. Labda haba soda ni nini na inapatikana wapi?
Mkuu NdasheneMbandu Basi hata kuweka (Like)

unashindwa? Haba Soda au Habati Sawda kwa jina la Kiingereza inaitwa Nigella seed au Nigella Sativa Seed

inapatikana Kariakoo karibu na Soko kuu La kariakoo Mtaa pemba kwa Wauza Dawa za Kiarabu Waulize

wapemba wanaoishi maeneo hayo ya karibu soko kuu la Kariakoo utapata angalia picha hapo chini uitwange kisha ndio uichekeche ndio uanze kuitumia.........................Nigella Sativa Seeds

Last edited by a moderator:
1800

1800

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2010
Messages
2,217
Likes
7
Points
135
1800

1800

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2010
2,217 7 135
Mkuu 1800 Asali iwe asali mbichi safi ya nyki kiwango chake fanya kiwe kama kikombe cha kahawa na kitunguumaji kiwe kimoja tu Kikatekate Kichanganye Kwenye Asali Kiweke Masaa 12 Halafu Tumia Kiasi Kama Kipimo Cha Hospitali. tumia kwa muda wa siku 3 kisha uje hapa utupe maendeleo ya Mwanao yanakwendaje? Give me feedback.
Asante mkuu MziziMkavu ,nimeagiza asali toka mkoani kwa ndugu yangu natumahi zoezi ili nitaanza jumanne,maana nilikua na hofu na asali za mijini hizi zinaweza kua asali zilizochakachuliwa!nitatoa feedback mkuu
 
Last edited by a moderator:
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,012
Likes
5,432
Points
280
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,012 5,432 280
Ploe sana!! kama asali itashindikana tunaomba majibu tukupe dawa mbadala humu
Mkuu niibada kama unaijuwa Dawa toa usingojee mpaka Asali ije hatutaki hizo ngoja ngoja tunatak utoe dawa kama unaijuwa toa hiyo dawa tu.
 
Last edited by a moderator:
1800

1800

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2010
Messages
2,217
Likes
7
Points
135
1800

1800

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2010
2,217 7 135
Wakuu nashukuru sana kwa ushauri wenu,ila pia naomba msaada juu ya ili,mtoto analia lia mara nyingi na mbaya zaidi akikohoa anatapika!
 
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Messages
40,012
Likes
5,432
Points
280
MziziMkavu

MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2009
40,012 5,432 280
Wakuu nashukuru sana kwa ushauri wenu,ila pia naomba msaada juu ya ili,mtoto analia lia mara nyingi na mbaya zaidi akikohoa anatapika!
Mkuu 1800 Mpeleke Hospitali akachekiwe na Daktari.
 
Last edited by a moderator:
NdasheneMbandu

NdasheneMbandu

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2012
Messages
940
Likes
2
Points
0
NdasheneMbandu

NdasheneMbandu

JF-Expert Member
Joined Jan 2, 2012
940 2 0
Mkuu NdasheneMbandu Basi hata kuweka (Like)

unashindwa? Haba Soda au Habati Sawda kwa jina la Kiingereza inaitwa Nigella seed au Nigella Sativa Seed

inapatikana Kariakoo karibu na Soko kuu La kariakoo Mtaa pemba kwa Wauza Dawa za Kiarabu Waulize

wapemba wanaoishi maeneo hayo ya karibu soko kuu la Kariakoo utapata angalia picha hapo chini uitwange kisha ndio uichekeche ndio uanze kuitumia.........................Nigella Sativa Seeds

Mkuu nitakugongea LIKE. Barikiwa sana.
 
Last edited by a moderator:
1800

1800

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2010
Messages
2,217
Likes
7
Points
135
1800

1800

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2010
2,217 7 135
Mkuu 1800 Mpeleke Hospitali akachekiwe na Daktari.
Asante mkuu MziziMkavu; nilimpeleka hospital wamempa dawa ila hazijamsaidia,Dr kadai sababu kuu ni hiyo asthma na pneumonia
 
Last edited by a moderator:
Kamakabuzi

Kamakabuzi

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2007
Messages
1,534
Likes
98
Points
145
Kamakabuzi

Kamakabuzi

JF-Expert Member
Joined Dec 3, 2007
1,534 98 145
Pole sana kwa kuuguza.Kuna tiba ya pumu nimeipata kwenye rmail yangu na maelezo ni kama ifuatavyo: (nanukuu maelezo yote) DAWA YA PUMUIkiwa una maradhi ya pumu watumie wengine ambao watafaidikaHii ni dawa muhimu kwa uwezo wa Allah kwa wale wenye maradhi ya pumu imevumbuliwa bi Fadhl Allah na muhandis (Engineer) kutoka Sudan ambaye alikuwa na maradhi haya na alikuwa akibanwa na pumu sana ikikaribia kuomba mauti hasa wakati wa kubadilika hali ya hewa. Kuna watu wameshajaribu na imewafaa mmoja alikuwa akipelekwa hospital kutiliwa oxygen na mwingine akitumia inheler na wote wamepona baada ya kutumia dawa hii. Dawa yenyewe ni :Chukuwa karafuu 6 zitowe vicha vyake kisha roweka hizo karafuu katika nusu gilass ya maji usiku kisha unakunywa maji yake asubuhi kabla hujala kitu. Fanya hivyo kwa muda wa siku 15. Sisemi kuwa inampa nafuu mgonjwa bali inamponyesha kabisa kwa uwezo wa Allah.Usifanye ubahili kuwatumia na watu wengine wapate manufaa.
 
Asante sana mkuu,itabidi nimpe na tiba hii pia,na hakika kwa majaribio yote haya yatokanayo na michango/mawazo mazuri ya wana JF,basi na kwa uwezo wa Muumba lazima uponyaji utapatikana tu!
 
M

Mongolandege

Member
Joined
Oct 18, 2012
Messages
6
Likes
1
Points
0
Age
33
M

Mongolandege

Member
Joined Oct 18, 2012
6 1 0
Pole sana ndugu. Mimi mtoto wangu mwenye umri wa miezi 11, alipata Pnemonia, akawa anakohoa na kutapika na homa kali. Namshukuru Mungu nilimpeleka hospt moja mitaa ya kwetu Tabata, siku hiyo hali ilikuwa mbaya akaniambia ana Pnemonia,mpeleke hospt kubwa mkalazwe. Nikadecide kumpeleka Muhimbili, upande wa Private, nikapata matibabu, alipewa AUgmentin, ya kunywa siku 7, na Benylin cough syrup kwa ajili ya kikohozi, namshukuru sana Mwenyezi MUNGU sasa yuko okay.
 
Kurunzi

Kurunzi

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Messages
4,481
Likes
821
Points
280
Age
39
Kurunzi

Kurunzi

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2009
4,481 821 280
Asante sana mkuu,itabidi nimpe na tiba hii pia,na hakika kwa majaribio yote haya yatokanayo na michango/mawazo mazuri ya wana JF,basi na kwa uwezo wa Muumba lazima uponyaji utapatikana tu!
Mkuu pole sana ila angalia kwani naona kila dawa unasema aksante sana utmpa mgonjwa angalia sana usije ukachanganya madwa ikawa sugu
 
1800

1800

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2010
Messages
2,217
Likes
7
Points
135
1800

1800

JF-Expert Member
Joined Dec 27, 2010
2,217 7 135
Mkuu pole sana ila angalia kwani naona kila dawa unasema aksante sana utmpa mgonjwa angalia sana usije ukachanganya madwa ikawa sugu
Hapana mkuu,ni uungwana tu kushukuru pale watu wanapokupa msaada wa kimawazo,nitajaribu tiba moja moja na kusikilizia matokeo yake,asante kwa angalizo lako
 
Jeff

Jeff

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2009
Messages
1,255
Likes
59
Points
145
Jeff

Jeff

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2009
1,255 59 145
Madactory wengi hutoa sababu ya ugonjwa kwa kukisia.Mi mwanangu akiwa na miaka 3 alikua anakohoa sana.Nikaenda kwa mtaalamu wa kifua akasema ni pumu inamsumbua.Aliniandikia dawa mfuko wa Rambo ulijaa.Nilipofika home nikazisoma moja baada ya nyingine then nikazitundika.Nikaenda Dukani nikatafuta dawa ya kikohozi ya maji yenye mchanganyiko wa kupunguza mziho (BENYLIN ya watoto).Baada ya siku tatu akapona kabisa.Baadae nikagundua mtoto anakunywa sana maji ya baridi,then nikapiga marufuku.Kuhusu Nimonia,kuna dawa inaitwa Augment ya UK ni nzuri sana au Clavam
Hii pia hata kwa mkubwa? mana nina bi mkubwa wangu amekuwa akisumbuliwa na hili tatizo kwa muda kidogo, ametumia sana dawa za kisasa 9za hospitali) lakini hakuna unafuu
 
Forum statistics

Threads 1,261,855
Members 485,352
Posts 30,105,948