Naona mmeamua kujifariji, ni jambo jema, naamini CHADEMA ya jf ni hatari sana, ila kiuhalisia acha linganisha CHADEMA na CCM, CCM ni chama ambacho kina taratibu kama chama, acha CHADEMA ipo kama kagenge flani kakupiga kelele.
Naona wameishiwa hoja. Bunge ndo sehemu pekee ya kutoa mapovu yao, wao wanalikimbia bunge na kuropoka nje ya bunge, wao waliamua kumtibu mgonjwa kifamilia zaidi na walikuwa wanafahamu taratibu za bunge kuhudumia wabunge wao, sasa Lema povu la nn kwa Spika? na kama kuna uhitaji wa pesa ni vema...
Narudia, ndo maana nimekwambia uelewa wako ni mdogo,na tatizo kubwa ni ww kuwekeza akili yako kwa watu fulani ili wakujazie ujinga ndani yake, na ndo maana unatoa matusi, kwani wizara ya katiba na sheria upajui ili ukamuulize Prof.Kabudi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Narudia kusema huo ni uelewa mdogo, kwani ww una haraka ya kwenda wapi? aliyesema ni mchakato naamini ipo siku atakwambia mchakato umefikia wapi, ni swala la ww kusubilia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Serikali ikwambie nini? cha msingi unatakiwa kufanya kazi, waziri wa katiba na sheria alisema kuwa huo ni mchakato na mchakato unachukua muda sio siku2 au 3 kwa uelewa wako. wakati waziri anaongea ulikuwa umeziba masikio na macho?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kimsingi wamechoka sana, kinachofanyika ni kukomaa hadi kieleweke naamini kufikia2020 watakuwa wamebakia wachache sna tena wale wenye vichwa vigumu kama mpingo.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.