Habari naomba muongozo wa fursa za bisharara Uganda na usafirishaji unakuwaje (Uganda to Tanzania).....
Na je, ni mahali sasa kwa kuchukua mzogo wa biashara?
Habari zenu naomba kujua nchi tatu bora ambazo unawezo kupata vitu kwa bei rahisi vitu kama nguo miwani kofia accesorise na biatu kwa bei ya jumla (za kwenda kusafiri )
Hayo nayajua yote hotel ata online unabook na nikeshop sana sana alibaba ila now nataka vitu tofaut tofaut nikaone mwnywe nichague boss nataka mtu wakuniguide nikiend
Habari, samahani mimi ni mfanyabiashara mdogo wa accesories kofia miwani na pochi nataka kwnda China ninunue mizigo nije kuuza kwa jumla hasa yiwu lakini sina mwenyeji naomba ushauri? Na je kuna ma agent wakuja kukupokea airport na kukuzungusha af yiwu then unawalipa?
Au kama kuna yeyote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.