Kama mdau mmoja alivyosema hapo juu hii ni match ya Ushindi kwa Man U, Liverpool ni wazuri lakini si mbele ya United, hata tukiwa na performance mbovu mara huwa tunapata matokeo chanya kwa Liverpool.
Falsafa zimebadilika msimu huu chochote kinaweza kutokea lakini Man U ana nafasi though Liver...
Kwa uzoefu wangu, Mbegu ndio Uti wa Mgongo wa Kilimo hiki.
Pili Elimu/Maarifa ni muhimu katika kilimo hiki, usifanye kilimo cha Uyoga kwa kusoma notes au kufuatilia mafunzo via Utube, it's practical oriented.
Usifanye kilimo hiki kama huzijui changamoto zake kwa kina.
Sehemu sahihi ya kupata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.