Habari wandugu
Kiukwel nimejitahidi kwa muda kidogo kujitafuta angalau nipate mtaji, nashukuru naona mwanga mbele.
Mtaji wenyewe ni banda la kuonesha mpira, au kama ijulikanavyo kama banda umiza. Binafsi nimevutiwa na kazi hii na napenda msimu huu kwa mapenzi ya Mungu niwe na banda la mpira...
Habari
Ndugu zangu nina mtoto wa kiume wa miezi 3 ananyonya sana mpaka mama yake anachoka na hashibi ukimtoa analia.
Clinic wameshaur mtoto anyonye tu maziwa ya mama hadi afikishe miezi 6.
Je nini naweza kufanya kumsaidia mtoto na mamake?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.