Recent content by molwo

  1. molwo

    JamiiForums Tanzania ARUSHA: Mbunge Godbless Lema bado anasubiri dhamana, arudishwa Gerezani, Mawakili wake wakata Rufaa

    Hizi ndoto zingine sio nzuri
  2. molwo

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani Kikwete atupa jiwe gizani kwa kiongozi

    Akamatwe kwa maneno ya uchochezi
  3. molwo

    JamiiForums Tanzania Tafakari ya Kipanya

    Very creative
  4. molwo

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya Shisha Dar: RC Makonda aumbuliwa na Waziri Mkuu mbele ya Kamanda Sirro

    Makonda Get ready kutumbuliwa sooner
  5. molwo

    JamiiForums Tanzania Mh. Makonda, kwa Kamanda Sirro umekwaa kisiki

    Makonda uliwahatamisha watu kusitisha matumizi ya shisha sasa naona shisha inaenda kuhitimisha kazi yako......Sasa unawatuhumu watumishi wenzako ambao ndio wasaidizi wako wakubwa katka kupambana na shisha.......Kuna tatizo kwa Makonda
  6. molwo

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aitia Saini Sheria ya Huduma za Habari 2016

    Mihimili ipo mitatu ila kuna mmoja mimi mizizi yake imechimbiwa sana chini
  7. molwo

    JamiiForums Tanzania Arusha: Lema arudishwa mahabusu, kesi yaahirishwa tena

    Kwani mtafsiri wa ndoto bado hajapatikana
  8. molwo

    JamiiForums Tanzania KILIO CHA AJIRA: Ukimya wa Rais Magufuli waleta hofu

    Hawana hela
  9. molwo

    JamiiForums Tanzania Msajili wa Vyama amtambua Prof. Lipumba kuwa Mwenyekiti halali wa CUF

    Movie inaendelea
  10. molwo

    JamiiForums Tanzania KILIO CHA AJIRA: Ukimya wa Rais Magufuli waleta hofu

    Tetemeko la ajira
  11. molwo

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Makamu wa Rais yakanusha mama Samia Suluhu kujiuzulu umakamu wa Rais

    Hatari sana... ila lazima kuna tatizo kati ya wawili hawa
  12. molwo

    JamiiForums Tanzania CUF: Rais Magufuli aache kutumia mamlaka yake vibaya aheshimu misingi ya haki, demokrasia

    Hahahaaaaa kupatwa kwa matamkoooo.... Mtatiro hakuna mbadala wa Amani ndugu yangu..... Amani sio mbona useme leo unakula tembele kesho unabadili unakula mchicha.... NO zima huo moto mliouwasha kwanza kwenye chama chako wewe na Maalim
  13. molwo

    JamiiForums Tanzania DC Kasesela: Kuwaza kuajiriwa kwa kijana aliyehitimu chuo ni Utumwa

    Dc mbona wewe umeajiriwa acha kutuchezea shere.... Ninji ndio mkitumbuliwa mnalia kuonewa kama ajira ni utumwa.... mbona wewe umeukubali huo utumwa? Basi acha udc uwe huru kwa sababu umesema ajira ni utumwa
Back
Top Bottom