Recent content by Molimi

  1. M

    Kiwanja kinahitajika Morogoro

    bei gani
  2. M

    Kiwanja kinahitajika Morogoro

    Daa Upo juu Sana mkuu
  3. M

    Kiwanja kinahitajika Morogoro

    Kiwe maeneo ya mkundi mwenye nacho weka bei na ukubwa wa kiwanja
  4. M

    Anatoa malezi ya mtoto laki 2 wakati kipato chake ni milioni 1.4 kwa mwezi

    kurudi siwezi maana unaweza kufa au kupata ulemavu wa kudumu apo,vipo vya kuvumilia sio vipigo
  5. M

    Anatoa malezi ya mtoto laki 2 wakati kipato chake ni milioni 1.4 kwa mwezi

    ni mume wa ndoa ajanifukuza niliondoka baada ya kushindwa kuvumilia mateso sijatafuta ushauri wa kisheria sikutaka mlolongo mrefu nilitaka tukubaliane tu
  6. M

    Anatoa malezi ya mtoto laki 2 wakati kipato chake ni milioni 1.4 kwa mwezi

    nilitaka at least kwa mwanzo wakati mambo yangu hayajakaa sawa anipatie pesa ya kutosha kidogo angalau niongezee mtaji hadi nitakapo simama mwenyewe na kuweza kumtunza mtoto vizur ,maana nimesema nimeondoka nikiwa sina chochote vyote nimemwachia,
  7. M

    Anatoa malezi ya mtoto laki 2 wakati kipato chake ni milioni 1.4 kwa mwezi

    Jamani nimetengana na mume wangu baada ya kuona vipigo vimezidi ikabidi niondoke niende kwa kaka angu ambaye naye anafamilia yake. Nilikuwa nafanya kazi katika kampuni fulani lakini mume aliniachisha kutokana kazi iyo kuwa na shift za usiku na nilikuwa na mtoto mdogo,kwa sasa nilikuwa...
  8. M

    Mume ameficha Cheti cha ndoa nifanyeje?

    Asante tarehe naikumbuka kwa iyo nitapewa kingine
  9. M

    Mume ameficha Cheti cha ndoa nifanyeje?

    Jamani wanasheria mume ameficha cheti cha ndoa naisi cheti amekichana VIP naweza pata kingine ndoa ilifungwa bomani ,ili niweze fatilia talaka rasmi na matunzo ya mtoto,nimebaki sins ushahid in ndoa ya miaka 4
  10. M

    KIWANJA KINAUZWA ARUSHA

    Sawa ngoja nisubiri mkuu
  11. M

    KIWANJA KINAUZWA ARUSHA

    Uje ukione live kama uko serious
  12. M

    KIWANJA KINAUZWA ARUSHA

    Kiwanja kipo maeneo ya muriet ukubwa ni 45 kwa 20 bei ni million 13 pm kwa maelezo zaid
Back
Top Bottom