Recent content by Molemo

  1. M

    Mahesabu yampa ushindi Freeman Mbowe, atarajiwa kuridhiana na Tundu Lissu

    Hayawi Hayawi sasa yamekuwa.Mkutano Mkuu wa Chadema uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu umewadia. Ni hapo kesho kutwa tarehe 21 Januari, siku ya Jumanne. Hakika yamesemwa mengi na kampeni za kuwania kuingia ofisi Kuu ya Mikocheni zimepamba moto na sasa ni lala salama. Vyovyote iwavyo Chadema imeweza...
  2. M

    Deogratius Mahinyila Mwenyekiti wa Bavicha adaiwa kuandaa vijana kufanya vurugu kwenye Mkuano Mkuu

    AMeshindwa kutumia hata ile elimu ya kusheria aliyo nayo kuwa na hekima
  3. M

    Deogratius Mahinyila Mwenyekiti wa Bavicha adaiwa kuandaa vijana kufanya vurugu kwenye Mkuano Mkuu

    Deo Mahinyila Mwenyekiti mpya wa Bavicha ameanza na mguu mbaya ndani ya Chadema mara baada ya ushindi wake. Mahinyila aliyejipambanua kwamba anamuunga mkono Tundu Lissu kwa siku 2 alizokaa madarakani ameligeuza Baraza hilo kama mali yake binafsi. Akizungumza katika mkutano wa Mwanaharakati...
  4. M

    Wanachadema wakataa chama chao kutekwa na kikundi cha Diasspora

    Umeeleza jambo kubwa sana.Asante
  5. M

    Wanachadema wakataa chama chao kutekwa na kikundi cha Diasspora

    Wanaojiita Watanzania waishio nje ya nchi wametangaza kutoa takrima kwa yeyote atakayeripoti habari ya kinachoitwa rushwa kuelekea Mkutano Mkuu wa Chadema Januari 21 Katika Tangazo linalosambazwa limeandikwa; Ndugu Mjumbe, Mwanachama na mwananchi mpenda haki na Mabadiliko: Fichua vitendo vya...
  6. M

    Freeman Mbowe kuzungumza na Taifa Ijumaa, Januari 10, 2025

    Mwenyekiti Freeman Mbowe sasa anaongea na Taifa.Tumsikilize
  7. M

    Dr Wilbroad Slaa anamchafua Tundu Lissu kwa kumpigia kampeni

    Dr Wilbroad Slaa aliyeikimbia Chadema katikati ya mapambano ya kukamata dola mwaka 2015 na kutunukiwa ubalozi kwa sasa ndiye mpiga debe mkuu wa Tundu Lissu kutaka kukamata uongozi ndani ya chama hicho Dr Wilbroad Slaa aliyesema Tundu Lissu alipigwa risasi na wanachadema wenyewe huku Freeman...
  8. M

    Tetesi: John Heche adaiwa kukiuka kanuni za uchaguzi CHADEMA, hatarini kuenguliwa

    John Heche mgombea wa nafasi ya Makamo Mwenyekiti Chadema anadaiwa kuvunja kanuni za uchaguzi ndani ya chama hicho. Akitangaza kugombea nafasi hiyo tarehe 5/1/25 John Heche akiwa na walioitwa wafuasi wake alijitangaza yeye ni mgombea Mwenza wa Tundu Lissu na kuwataka wanachama wawachague wao...
  9. M

    Freeman Mbowe kuzungumza na Taifa Ijumaa, Januari 10, 2025

    Freeman Mbowe Mwenyekiti wa Taifa wa Chadema kesho Ijumaa tarehe 10/01/25 anatarajiwa kuzungumza na Taifa kupitia Clouds Media kuanzia saa 12 asubuhi katika kipindi cha Power Breakfast. Freeman Mbowe mwanasiasa mwenye mvuto zaidi kwa sasa hapa nchini anatetea nafasi yake ya uenyekiti katika...
  10. M

    PreGE2025 Baadhi ya Wajumbe Mkutano Mkuu CHADEMA wamkataa Tundu Lissu

    Tundu Lissu mwanaharakati na mtetezi mkubwa wa haki za binadamu anapambana kukalia kiti cha Mwenyekiti Chadema Taifa Molemo Media imefanya utafiti maeneo mbalimbali nchini kwa wajumbe wa mkutano mkuu kutaka kufahamu mwelekeo na mtazamo wao kuelekea mkutano Mkuu wa uchaguzi Januari 21 Tundu...
  11. M

    Freeman Mbowe ajilaumu kwa yanayomkuta - Absalom Kibanda

    Asante sana Kiranja wa Jamii umeandika vema sana.Kwa heshima ya huu mchango wako nitauweka pale juu chini ya Andishi la Absalom Kibanda
  12. M

    Freeman Mbowe ajilaumu kwa yanayomkuta - Absalom Kibanda

    Anaandika Absalom Kibanda Katika hili kundi lililofungiwa sina cha kuficha hata kimoja. Usitumie moyo au ulimi kufikiri. Jeuri na nguvu ya CHADEMA leo ni matokeo ya kazi ya kutukuka ya Freeman Aikaeli Mbowe. Mkwamo wa Chadema leo unatokana na Mbowe kukumbatia sana makosa ya Lissu na wasaidizi...
Back
Top Bottom