Recent content by Mojo

  1. M

    JamiiForums Tanzania January Makamba anamfanyia hujuma Rais Samia

    Hujuma ya HATARI sana hii
  2. M

    JamiiForums Tanzania Rene Meza wa Vodacom aula Kampuni ya Mawasiliano Qatar

    VODACOM TANZANIA MD RENE MEZA RESIGNS OVER $350 MILLION SCANDALPosted on May 7, 2015 Tenders resignation letter this morning Feared he may flee the country to avoid prosecution Sources reveal how Vodacom Tanzania MD met more than 10 times with Tanil Somaiya, Rostam Aziz to...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Rene Meza wa Vodacom aula Kampuni ya Mawasiliano Qatar

    Huyu kashaiba anakimbia Vodacom Tanzania CEO resignsMay 11 2015 at 11:08am By Chris Spillane Comment on this story BLOOMBERGFile photo: Nadine HuttonJohannesburg - Rene Meza, managing director of Vodacom Group Ltd.'s Tanzanian unit, has resigned to pursue other opportunities. Meza, who joined...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania MD Rene Meza resigns over $350 million scandal

    Kashakimbia nchi
  5. M

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania MD Rene Meza resigns over $350 million scandal

    Vodacom Tanzania CEO resignsMay 11 2015 at 11:08am By Chris Spillane Comment on this story BLOOMBERGFile photo: Nadine HuttonJohannesburg - Rene Meza, managing director of Vodacom Group Ltd.’s Tanzanian unit, has resigned to pursue other opportunities. Meza, who joined Vodacom Tanzania in...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania MD Rene Meza resigns over $350 million scandal

    Vodacom Tanzania CEO resignsMay 11 2015 at 11:08am By Chris Spillane Comment on this storyBLOOMBERGFile photo: Nadine HuttonJohannesburg - Rene Meza, managing director of Vodacom Group Ltd.’s Tanzanian unit, has resigned to pursue other opportunities. Meza, who joined Vodacom Tanzania in 2011...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania responds to Fraud Allegations posted Online

    SWALI: Kwa kuwa Vodacom Tanzania wanakiri wenyewe kuwa kulikuwa wizi na kughushi ambako kulifanywa na Shivacom kwa kuchapisha vocha za wizi na kuziingiza sokoni kupitia washirika wake Alphatel na Planetel, kwa nini hawajaripoti uhalifu huu polisi na TAKUKURU? Hii ni criminal case (jinai), siyo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania responds to Fraud Allegations posted Online

    Hii barua ya Vodacom Tanzania imethibitisha ukweli ufuatao ambao umefichuliwa na tuhuma za kwenye mtandao huu --- https://255whistleblower.wordpress.com/2015/04/27/hello-world/ Ni kweli Vodacom Tanzania ilikuwa na mkataba na Shivacom wa kuchapisha vocha za simu Ni kweli kulikuwa na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania UFISADI: $350 million stolen from Tanzanians in Vodacom scandal

    Kwanza nilidhani hii skendo siyo kweli, ila baada ya kusoma hii barua ya mwanasheria wa Vodacom kwenda kwa Tanil Somaiya wa Shivacom, ni dhahiri kuwa huu ni ukweli mtupu. Media za Tanzania zifuatilia hii kwa undani. Tanzania kweli shamba la bibi, wizi kila kona.
  10. M

    JamiiForums Tanzania UFISADI: $350 million stolen from Tanzanians in Vodacom scandal

    Huu wizi ni mkubwa kuliko EPA na escrow. Media za Tanzania haziwezi kuandika haya kwani wamenunuliwa wote na Vodacom kupitia matangazo
  11. M

    JamiiForums Tanzania UFISADI: $350 million stolen from Tanzanians in Vodacom scandal

    Ni fedha za wananchi na za umma. Tumeambiwa kuwa kuna wananchi masikini walinunua vocha za sh 500 za Voda na kukuta hazifanyi kazi kumbe wahuni wameshaingiza sokoni vocha nyingine mapema zenye PIN hizo hizo. Pia hawa jamaa waliuza vocha za zaidi ya shilingi bilioni 600 bila kulipa VAT. Ni pesa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania to spend $14bn on railways, eyes regional hub status

    Wewe kilaza kweli, kwani $1 = 1,000 shillings mpaka $14 billion iwe 14 trillion shillings? $1 = 1,850 shillings, hivyo $14bn = 26 trillion shillings.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania to spend $14bn on railways, eyes regional hub status

    Wewe kilaza kweli, kwani $1 = 1,000 shillings mpaka $14 billion iwe 14 trillion shillings? $1 = 1,850 shillings, hivyo $14bn = 26 trillion shillings.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Revealed: Chimbuko la utajiri wa Lowassa hili hapa. Je, anafaa kuwa rais?

    Habari kutoka chanzo cha uhakika sekta ya madini ni kuwa Waziri Mkuu aliyejiuzulu kwa ufisadi wa Richmond, Edward Lowassa, ni mmiliki wa hisa asilimia 50 za mgodi wa TanzaniteOne uliopo Merelani (anamiliki hisa hizi kwa kujificha). Kiongozi wa umma siyo tatizo kuwa tajiri, swali ni kuwa...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Urais CCM Joto kweli kweli

    Mtoa mada hii ni dhahiri unapakatwa na TeamLowassa. Hakuna Mtanzania asiyejua kuwa mwanasiasa mwenye doa kubwa la maadili, aliyejilimbikizia mali na mwenye tuhuma nzito za ufisadi ni Waziri Mkuu aliyejiuzulu kwa kashfa ya ufisadi wa Richmond, Edward Lowassa. Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere...
Back
Top Bottom