Recent content by Moire

  1. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Feni Used- Like New inauzwa

    Aliyenitumia SMS anahitajii hii feni, tuwasikiane maana SMS uliyinitumia nimeifuta bahati mbaya, nimeshindwa kukutafuta.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Feni inauzwa

    Aliyenitumia SMS Jana anahitaji hii bidhaa, tuwasiliane maana SMS ukiyonitumia was accidentally deleted.
  3. M

    JamiiForums Tanzania Kwa walioa/olewa na wanasheria tupeane uzoefu hapa

    Well said kijana
  4. M

    JamiiForums Tanzania Feni inauzwa

    In namba 1, 2, na 3. Lakini zote ni Kali it like helicopter ndogo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Feni inauzwa

    Take my number, kwa mawasiliano rahisi, 0717911014. Whatsap
  6. M

    JamiiForums Tanzania Feni inauzwa

    Nicheki whatsap 0717911014
  7. M

    JamiiForums Tanzania Feni inauzwa

    Kwa matumizi ya nyumbani, maana nyumbani vyumba space ni ndogo, bar, kanisani, ama kwenye kumbi huwa zinafungwa juu
  8. M

    JamiiForums Tanzania Feni inauzwa

    Niliinunua kwa matumizi ya home, but nilipofika home nikagundua mimebugi, maana INA upepo ambao sio friendly kwa matumizi ya watu. So imekuwa haitumiki kwa muda sasa. Nahitaji kuiuza sasa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Feni inauzwa

    Hiyo bado upo chini chief.. Hii ni like new
  10. M

    JamiiForums Tanzania Feni inauzwa

    Nauza feni yenye material ya chuma. Inafaa sana kwa wenye sehemu za kuonyeonyeshea Mpira, makabisani, bar na sehemu zenye mikusanyiko ya watu. Bei Tsh 90,000.
  11. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Feni Used- Like New inauzwa

    Promosheni fika 80
  12. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Feni Used- Like New inauzwa

    Inafaaa, but INA upepo mkali sana
  13. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Feni Used- Like New inauzwa

    Ukifika 80 nakuachia
  14. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Matairi Mapya Ya Bridgestone Yanauzwa

    Hiyo warranti ya miaka mitano noma sana. Life span ya tairi ni miaka minne, warranti inazidi life span. Ama ulimaanisha miezi mitano? Sina uhakika kama nikifunga hizo tairi kwenye gari zitadumu kipindi kimoja cha rais wa tanzania madarakani. Hebu fafanua vizuri.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji FENI+TV Niko Dar

    Chukua hii kwa 100k
Back
Top Bottom