Recent content by MOH'D JUMA FAKIH

  1. MOH'D JUMA FAKIH

    DC aagiza kiongozi wa 4U Movement kuswekwa ndani.

    Roho ikitoka mtu haachi kupapatika ukweli usio na shaka CCM tutaisahau si muda mrefu ujao
  2. MOH'D JUMA FAKIH

    Yaliyojiri StarTv: Mahojiano Maalum ya Dr. Slaa na Star TV - Tarehe 4 Septemba, 2015

    Ni kweli mbroo hata angepitishwa lipumba slaa asingekubali na sasa napata picha ni kweli hawa jamaa tamaa sasa na walikwishaanza kugombana wao wenyewe kila mtu akitaka awe yy na mambo yaliganda muda mrefu ss tunateremka tuu
  3. MOH'D JUMA FAKIH

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Ushauri mzuri hapa kwa ukawa wasimjibu waachane nae tuu
  4. MOH'D JUMA FAKIH

    Tutawaonyesha upuuzi wetu 2015 October

    kama kweli lowasa fisadi na mwizi bac pia ni kweli CCM chaka na ni genge la wizi
  5. MOH'D JUMA FAKIH

    Magufuli na ikulu

    Ukichunguza utagundua makuduli anaobyesha mapungufu makubwa ya serikali ya ccm na anatoa point kwa wapinzani
Back
Top Bottom