Thamani ni Chakula, fedha ni namba huna uhakika nazo.
Utajiri ni chakula, Walioamua kulima wakisema hawauzi chakula chao, sijui kama tutaweza kula hela. Chakula ndio utajiri kwa kuwa ni mfumo asilia wa kimungu.
Hela sio utajiri hela ni mfumo wa namba ulioanzishwa na wasiokuwa na mali...
kwa wenye historia ya mzee Bakari Mfaranyaki alikuwa na mchango gani huyu mzee maana mi nimesikia habari zake juu juu tu sasa sijajua imekaaje historia yake
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.