Mimi nafikiri Mh.Zito angefaa kuwa Rais kupitia CHADEMA kuliko Mh. Slaa kwa sababu kwanza Mh.Zitto ni mzalendo hebu fikiria mpaka anajaribu kuacha posho yake na kuipeleka jimboni kwake hii inathibitisha yeye ni mzalendo.Sababu nyingine pia Mh.Zitto anajitoa kikamilifu katika shughuli mbalimbali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.