Recent content by mohamed habibu

  1. mohamed habibu

    JamiiForums Tanzania Taxi mtandaoni dereva

    Habari wana jamii, poleni kwa majukumu ya hapa na pale. Mim kijana wenu nimerudi tena baada ya matatizo ya kiafya na mshukuru mwenyezi Mungu kwa kunipa afya nyingine Kijana wenu nimekuja kwenu natafuta gari ya kwajili ya kufanya biashara ya tax mtandaoni. Natumain ombi langu nitapatikana...
  2. mohamed habibu

    JamiiForums Tanzania Anahitajika kijana wa kazi awe wa kiume au wa kike wa kuuza duka la nguo Kariakoo

    Mim hapa nipo tayari 0719013003 0655075295
  3. mohamed habibu

    JamiiForums Tanzania Dereva Tax mtandaoni. Natafuta kazi

    Baada ya kimya kwa muda mrefu kwa changamoto za hapa na pale za kidunia nina mshukuru mungu kunipambania na kunipa afya njema na kurudi imara. Wakurugenzi wangu mim ni kijana wa kitanzania ambae makazi yangu ni jiji la Dar es Salaam ombi langu kubwa natafuta gari la kupeleka hesabu kwa boss...
  4. mohamed habibu

    JamiiForums Tanzania Kuomba kazi

    Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 25 na mkazi wa DODOMA, Pia nina fani ya udereva. Dhumuni yangu kuu ni kuomba au kutafuta kazi ambayo inaweza kuniingizia kipato na kukidhi mahitaji yangu hapo mbeleni.Nina uzoefu wa fani zifuatazo: 👉🏼 Udereva wa kuendesha magari kuanzia...
  5. mohamed habibu

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya halali. Niko Dodoma

    Asante kwa ushauli wako kiongozi
  6. mohamed habibu

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya halali. Niko Dodoma

    Sehemu gani
  7. mohamed habibu

    JamiiForums Tanzania Natakufata kazi

    Kwa majina naitwa MOHAMED HABIBU MOHAMED ni mkazi wa mkoa wa DoDoma,umri wangu miaka 25 mwenye elimi ya kidato cha nne (4). Nina nina fani ya udereva pia ni mzoefu usio pungua maika 3 ya kuendesha gari kuanzia robo ¾ tani mpaka tani 3½. Nina uzoefu wa kuuza duka la aina yoyote isipo kuwa...
  8. mohamed habibu

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya halali. Niko Dodoma

    A,b,d,e kaka
  9. mohamed habibu

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi yoyote ya halali. Niko Dodoma

    Mim kijana wa kitanzania ambaye natafuta ajira yoyote ile ambayo ni halali kabisa Nina uzoefu na kuendesha magari na pikipiki, nina uzoefu wa kuuza duka. Kwa yoyote yule alie tayari naomba tuwasiliane kupitia namba 0719 01 3003 au 0622 94 1452 au barua pepe mohamedhabibu075@gmail.com
  10. mohamed habibu

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari ya kufanyia kazi na kupeleka hesabu kwa boss

    Natafuta gari ya kutanyia kazi na kupeleka hesabu kwa mmiliki wa gari (boss),Nina uzoefu wa kufanya kazi za tax mtandaoni pamoja na kuwa app za kufanyia kazi (bolt, paisha, litter ride n.k). Kwa mawasiliano zaid 0719 01 3003 au 0622 94 1452 au mohamedhabibu075@gmail.com NB: barua ya serikali...
  11. mohamed habibu

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari ya kufanyia kazi na kupeleka hesabu kwa boss

    Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye umri wa miaka 26, Natafuta gari ya kufanyia kazi na kupeleka hesabu kwa boss.Kazi yenyewe ni ya tax mtandaoni app za kufanyia kazi pia ninazo kama vile BOLT,PAISHA,PING,LITTLE RIDE n.k. Kwa yoyote ambaye yuko tayai nifanye nae kazi ivyo basi kwa uaminifu...
  12. mohamed habibu

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari ya kufanyia kazi ya Uber na kuleta hesabu

    Natafuta gari la biashara ya taxmtandaoni(uber,bolt,paisha) Mim kijana wa kitanzania ninae tafuta ajira ili kujikimu kwenye haya maisha,natafuta gari la biashara kwa ajili ya tax mtandaoni na kupeleka hesabu kwa boss kila week Kwa yoyote yule ambae yuko tayari au fahamu basi naomba tuwasiliane...
  13. mohamed habibu

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari ya kufanyia kazi ya Uber na kuleta hesabu

    Natafuta gari la biashara kufanyia kazi ya tax mtandaoni (uber,bolt,paisha,litter drive) [emoji95]Lesin yangu iko active [emoji95]App za kufanyia kazi ziko active (uber,bolt n.k) Kwa mawasiliano zaidi 0719 01 3003 0622 94 1452 Email. Mohamedhabibu075@gmail.com
  14. mohamed habibu

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari ya kufanyia kazi ya Uber na kuleta hesabu

    Nipe basi number yako tuwasiliane mkuu
  15. mohamed habibu

    JamiiForums Tanzania Natafuta gari ya kufanyia kazi ya Uber na kuleta hesabu

    Wanatoa magari au wafanyakai wa nin
Back
Top Bottom