Recent content by mohamed africa ltd

  1. M

    Access Bank imegawana Pesa za kampuni yangu nikiwa gerezani "Teachers and Students Forum-TZ a/c No.01241001086-67

    Hii bank haifai kabisa mimi niko nao mahakamani mwaka wa 4 sasa walinibambikia mariba ili nishindwe kulipa kumbe walilitamani eneo langu wakaliuza bila kufata taratibu na mbaya zaidi walifanya mnada usiku saa moja jioni mnada wenyewe nje ya eneo langu mbali kabisa kumbe huo mnada ukikuwa wa...
  2. M

    Kila mwanaume 1 anaporudi nyumbani, anaenda kuipa matumaini familia yake hata kama hana senti tano

    Kwa kutambua umuhimu wa mume dini yetu ya kiislamu inasema yatima ni yule aliyefiwa na baba na siyo mama na pia iksema kama ingeamrishwa binaadamu kumsujudia binaadamu mwenzie basi angeamriwa mke kumsujudia mume hii yote ni kutambua sacrifice ya mume kwa familia Sent using Jamii Forums mobile app
  3. M

    Kuacha hela ya matumizi. Je, wazungu wanafanya hivi?

    Mimi naona ni suala la uwezo wa mtu lakini hata ukiweka kila kitu kihaki kama una familia lazima uwache pesa nyumbani sometimes tunawaona tu wake zetu hata akitamani soda au mtoto katamani ice cream mpaka upigiwe simu siyo sawa kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
  4. M

    Ninatafuta banda la kufugia kuku wa kisasa Dar es Salaam

    Mimi ni transporter ndugu ndiyo kazi ninayoimudu kwa zaidi ya miaka 15 hata nikiwa nimelala naweza ku manage malori yangu ila nilikuwa na shamba nikajenga nyumba ya weekend na nyumba ya wafanyakazi na kisima nikasikia story pale shambani za kunishauri jenga banda tukimbize biashara ya kuku...
  5. M

    Ninatafuta banda la kufugia kuku wa kisasa Dar es Salaam

    Imegandana na store yake hilo banda mita 5 kwa mita 10 Sent using Jamii Forums mobile app
  6. M

    Ninatafuta banda la kufugia kuku wa kisasa Dar es Salaam

    Mimi ninalo la urefu mita 60 na upana mita 10 mkuranga nimekijenga miezi saba iliyopita la kisasa kabisa full tofali chini zege feeders ninazo mpya na drinkers nimetishwa siweki kuku tena ma kisima kipo maji safi kabisa,uwezo wa kujenga mengine ninao kama itatokea wakukodisha ila roho imegoma...
  7. M

    Mambo ya ajabu niliyoyaona Msumbiji (Mozambique)

    Nasikia kuna mtanzania mmoja anaitwa nagi investimentos tajiri kubwa huko Sent using Jamii Forums mobile app
  8. M

    Siamini kama kweli benki ndio wameuza nyumba ya milioni 25 kwa milioni 3 kisa wanamdai mteja wao milioni 1 na laki 6. Au kuna utapeli ndani yake?

    Access bank ni matapeli mimi naandika haya ni mteja wao nikiwa naendeshana nao kesi mahkamani mwaka wa tatu takriban haki naamini itapatikana mahkamani Tabia kuu za access bank kwa faida ya wengine: 1.Ni matapeli wana wateja wa kila security iliyowekwa bank 2.ni wahongaji wazuri ili...
  9. M

    Huu udhalilishaji wa matajiri kwa wafanyakazi wao utaisha lini?

    Wewe mzungu utamjulia wapi kwa mfano,ila Hispanic ya mwarabu kupokea na kuajiri yoyote yule ili apate rizki hii ndiyo jazaa yake
  10. M

    Huu udhalilishaji wa matajiri kwa wafanyakazi wao utaisha lini?

    Watu humu wana kimbilia kuhukumu na kudhania mwarabu sijui mu Asia si sawa kabisa tumewakosea nini?au kutoa ajira kwetu hata kama kwa malipo yasiyoridhisha ndiyo shukran kutukanwa kweli???
  11. M

    Huu udhalilishaji wa matajiri kwa wafanyakazi wao utaisha lini?

    Huo ni ubaguzi ndugu huyo aliyofanya tukio hilo ni mtu mweusi wa mkoa mbeya
  12. M

    BRELA Mnazingua sana

    Mimi nina company ina miaka 3 nimeenda brela kutaka annual returns nilipie ili niambatanishe kwenye kuomba leseni iliyokwisha ya viwanda na biashara sasa waniambia niende kwa mhasibu nikalipie registration fee ya usajili wa company kwani haikulipiwa na mtu niliyempa kusajili kipindi hicho ila...
  13. M

    CNG kuwaangamiza waarabu, Tanzania yalamba bingo nzito gesi asilia toka kusini

    Waarabu hawawezi kulala wanajua yajayo washajipanga kila idara 2020 anazalisha gas saudi
  14. M

    CNG kuwaangamiza waarabu, Tanzania yalamba bingo nzito gesi asilia toka kusini

    Tena nimpe taarifa mtoa mada penye mafuta ndiyo kuna gas kwa mfano qatar moja ya nchi tegemeo kwa gas duniani kama russia mafuta na gas
  15. M

    Tanesco Kigamboni msiwe kama wendawazimu, wiki iliyopita mmeunguza nyumba ya mtu Makondeko kwa ushenzi kama huu!

    Tatizo nina kituo cha mafuta maarufu jm umeme kila mara unakatwa na kurudishwa mnatuharibia vifaa vya electronic 0652222222 Mr mohd
Back
Top Bottom