Habari zenu wana JF, kama title inavyojieleza natafuta vijana wanaotengeneza kucha za kike hasa wale ambao hawana sehemu maalumu ya kufanyia kazi wanatembea mtaani kutafuta wateja.
Kama ni wewe au kuna mtu unamfahamu, ni PM au wasiliana nami kwa namba hii 0769262283 tufanye biashara.
Ahsanteni.
Naomba kuuliza, ukiwa unahitaji kuanza kuendesha uber ni lazima leseni yako iwe na class C? Au hata class zingine zinafaa?
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.