Natafuta vijana wanaotengeneza kucha za kike tufanye kazi

Mody Nkamia

New Member
May 9, 2020
3
0
Habari zenu wana JF, kama title inavyojieleza natafuta vijana wanaotengeneza kucha za kike hasa wale ambao hawana sehemu maalumu ya kufanyia kazi wanatembea mtaani kutafuta wateja.

Kama ni wewe au kuna mtu unamfahamu, ni PM au wasiliana nami kwa namba hii 0769262283 tufanye biashara.

Ahsanteni.
 
Back
Top Bottom