Hapa Kwa uzoefu wangu ni KWENYE suala Zima la fursa kwa sababu fursa za Siku HIZI unapaswa kuzitafuta na kuhangaikia sio kama zamani fursa zinajileta zenyewe lakin Saiv fursa zipo ila zimejificha hivo basi mm naona hii ni Moja ya maendeleo katika teknolojia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.