Kuna jamaa au kikundi huko arusha nilishaona wakifanya hiki kitu pamoja na ww au ww uko peke yk? Niliona walifikia kipindi cha animat na walikua wanatumia zile tags nahisi sijui kitalam wanazitaje lakini hawatumi flem by flem. Dah! Ngoja na mm niendele kukaza kumbe tuko wengi wenye ndoto hizi...
Safi sn. Namini watatoka watu wengi sn ktk hili. Siku na mm nitarusha kazi yng. Ila kikubwa kushilikiana na kubadilishana utalam. Mm cjasomea hivi vi2 ila namini nakipaji na sana juu yake. Ww uko wapi mkuu.
Safi sana. Mm nilikua napenda sn kufanya hiki kitu. Na nilijifunza kidogo kuitumia hii software ya blender lakini niliona kwangu km kunavitu vingine nakosa nikajaribu kutafuta software yngne ambayo wanaita maya ndio naendelea kujifundisha mm mwenyewe japo vitu vingi vina fanana na blender. Dah...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.