unajua kampuni ikimpa kazi mtu mjinga kama huyu ataharibu,nataman mzee tahmeed aone haya matusi ya huyu kibaraka uone kama hatafukuzwa kazi,tahmeed bado mnasafar ndefu kuikuta kilimanjaro express kwanza nauli mpaka 15,000 kwenda arusha pale ubungo klm 33,000 pili ww michina kibao ambayo baada ya...
huyo hajui anachokifanya anatakiwa ashindane kwa kuzungusha basi na kupata abiria wengi na cyo kupakaza taarifa za uongo kuhusu kilimanjaro express "BWANA NDIYE MCHUNGAJI WANGU"
kilimanjaro express hatupo kwa ajili ya kukimbizana na tahmeed tupo kwa ajili ya biashara na hata tukitaka ligi hawatuwezi mchina na scania wap na wap?
unapopost kitu jaribu kuwa mkweli,hizo bus mpya za kilimanjaro express hata haujaziona unasema zimeongezwa seat ,hizo bus zina seat 47 hebu tueleze ni seat ngapi zimeongezwa?tahmeed ya 2*2 ina seat zaidi ya 50 sasa usitafute kick kuipaisha tahmeed kilimanjaro express tutazidi kuwaburuza tu.pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.