Recent content by Mo boshen

  1. M

    Wenye matatizo ya kukoroma tukutane hapa, tupeane ushauri

    Hapo sawa na kujamba vitan umestua mahadui
  2. M

    Nina jasho lenye harufu kali sana. Je, kuna dawa ya kutibu tatizo hili?

    MKUU NISIKILIZE MIMI EMBU OGEA MAJI YA UKOKO WA UGARI YAN UKIENDA KUOGA YA CHUKUE KIDOGO KWENYE KOPO KISHA UNAANZA KUOGA MAJI YA KAWAIDA HALAFU UKIMALIZA UNAJIPAKA HAYO MAJI YA UKOKO SEHEM ZENYE HIYO HARUFU KUANZIA MAKWAPAN HADI KWENYE KIFUA MPAKA TUMBON UJE UNISHUKURU BAADAE
  3. M

    Msaada: Ipi ni tiba sahihi kwa tatizo la uume kulegea?

    Mkuu nakusii uctumie dawa yeyote we tuliza akili yako tu hilo tatizo linaanzia kichwan Weka akili yako sawa fanya mazoezi
  4. M

    Sikutegemea nilichokikuta ukweni

    Hiyo familia inaundugu na MR RUTO
  5. M

    Utani umewahi kukupeleka pabaya???

    Kaka uwo co utani kwanza!! Utan ni mzee unaokela huyo hajafanya utani bali uyo kaleta ulopokaji
  6. M

    Hapa ndio siuelewagi Uislamu kusema Ibrahim alikuwa ni Muislamu na Hekalu la Suleiman ni mali ya waislamu

    Sasa mkuu kma huamin kma hekalu la Nabii suleiman ni mali ya Waislam bas ungeonyesha ushahid wa dini nyingine inayomiliki hapo!! Kiukweli nataman nikujibu ki utaalam lakin naic tayar ubongo wako uwezi kupokea Kwa maana tayari umeuliza swali halafu jibu unalo sasa hapo nikikupa jibu uwezi...
  7. M

    Uume wangu kutoa usaha na maumivu wakati wa kukojoa

    Sawa mkuu ngoja nisubili na kesho nione ntakavyokuwa! Shukran sana bocc
  8. M

    Uume wangu kutoa usaha na maumivu wakati wa kukojoa

    Mkuu hapan nim Hapana mkuu dawa nimeanza kutumia alhamis ucku, ikaja ijumaha ucku na nikamaliza jjana jumamoc ucku lakin naona usaha bado unatoka au nisubili kwa muda kidogi
  9. M

    Uume wangu kutoa usaha na maumivu wakati wa kukojoa

    Kaka nimepiga azuma 500g lakin naona bado
  10. M

    Uume wangu kutoa usaha na maumivu wakati wa kukojoa

    Kaka nashukulu! But nimefurah sana leo kwa ki reply wewe maana we ni star umu dah leo niko na bahat mkuu
Back
Top Bottom