Recent content by mnynyigumba

  1. M

    Ngeleja apongezwe kwa hili

    Ngeleja ndo Mpango Mzima.
  2. M

    Sengerema: Wazee wapeleka ng'ombe 10 kwa Ngeleja

    Ngeleja kawafanyia mengi wana sengerema, ngeleja Ni kijana mchapakazi, anayewajali wananchi wake. Wazee hao wameona mbali hawajababaishwa na maskondo ya kusingiziwa aliyitengenezewa na wasiolitakia mema Taifa hili. Ngeleja ni mtu wa Watanzania. Anafaa kuongoza nchi anafaa kuingia Magogoni.
  3. M

    Ngeleja azima hoja ya Escrow

    Escrow ni Mpango wa wabaya wa ngeleja kujaribu kuizima nyota yake. Lakini wamechemka na ndiyo maana kanda ya ziwa kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa kaongoza kwa 83% huku wapinzani wakigawana 17%. Ngeleja katapila. Anafaa kuongoza nchi.
Back
Top Bottom