Ndugu zangu Habari! Wataalam naomba tena msaada wenu juu ya tatizo moja ambalo linamkabiri kaka yangu ambaye ana umri wa miaka 40 lakini hivi karibuni aligundulika kuwa ni HIV +. Lakini sasa inakaribia mwezi mmoja toka amekunywa dawa ya Quinine na masikio yake hayasikii kabisa (Yameziba). Sasa...
Kuna mfanyakazi mmoja alikabidhiwa ofisi ya umma. Ndani ya miaka 2 akawa amepata shoti ya shillingi milioni 3, na alipoitwa na menajimenti akakiri kutenda kosa hilo na yupo tayari kurejesha fedha kwa kukatwa kwenye mshahara wake wa kila mwezi. Lakini hatua ya kwanza alitolewa kwenye kile...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.