Recent content by mnyaki dada

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba Fans' Special Thread...

    Nipo myn... Sema nipo busy kama fundi chelehani anavokua anashona sare.....
  2. M

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba Fans' Special Thread...

    Nipo humu longtime sana...... Tangu Mkuu matola anazidua jukwaa muulize nifah ananijiua.... Sema nipo busy mwisho wa mwaka huu kazi ndo zinabana...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba Fans' Special Thread...

    Kangi nywamu fijo.....
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba Fans' Special Thread...

    Ko Diamond anatoa video nzuri kuzidi p2.... Na kuwashinda mafikizolo????? Nimeibiwa kweupe....
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba Fans' Special Thread...

    Eti diamond anaimba kuliko p2,mafikizolo,davido na dibanj......... Hapana jamani tunaibiwa kweupe peeee bora nibaki kwa Alikibar kwenye uhalali kuliko kunako vuma kwa uwizi..... Tangu nimezaliwa sijawahi kusikia wimbo Wa Diamond wenye ujumbe Wa maana... Ni kweli wapumbavu ni wengi na wanapenda...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba Fans' Special Thread...

    Shukrani.....
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba Fans' Special Thread...

    Kwani wewe unashushi mdomoni..???? Ni starehe ile jifanye hujui
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba Fans' Special Thread...

    Sipati picha saizi alivyo nahisi anatoa macho kama tax driver aliyekosa abiria......... Noma sana
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba Fans' Special Thread...

    Unanikunaga ambapo mkono haufiki......
  10. M

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba Fans' Special Thread...

    Hahahaha!!! Hahahaha!! Kamfundishe mondi jinsi ya kuandika maana barua ya kuomba msamaha tena kwa jeshi ameanza na dear.. Duh???? Sijui itakuaje
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba Fans' Special Thread...

    Mwalimu umepindisha kukwepa aibu???? Kumbe ningekufata ofisini nikwambie mwalimu... Afu huwezi kumbadili mtu jina lake may be umpe nick name.... Ko teacher usitafte kick umekosea bana si ufute tu hako ka u then uweke a tuendelee kuandika
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba Fans' Special Thread...

    Mwalimu umekosea sio mnyuki ni mnyaki...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba Fans' Special Thread...

    Kama wewe ulivoenda tuition kabla ya kujiunga jf....
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba Fans' Special Thread...

    Si umesoma na ujumbe umeupata????? Au ulitaka jarida????
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba Fans' Special Thread...

    Duh.......????? Pole sana ndo inayokutulizaga wewe usikute ndo mana umeachika Mara nyingi.......wenzio hatutulii tunaguna kimahaba ndugu.......!!! Sasa wewe unatulizwaga bana na unakua kama gogo?????? Afu ukimaliza unamwambia thanks my morning dew...... We endelea kujifanya wa kindangaten...
Back
Top Bottom