kwa ukweli musemo wa mwalimu nyerere kuhusu huyu bwaba ulikuwa na maana pana hadi leo upo, kumbuka nyerere aliwahi kusema hatuwezi kuwa na raisi muhuni,akimaanisha huwezi kuwa na kiongozi wa nchi muhuni anealika mamiss ikulu ana maanisha nini?.Tatizo BWM alopoharibu miaka mitano ya mwisho ccm...
Tabu kubwa ya kiongozi wenu hana la maana hadi atizame TV za nje ili apate mbwembwe, wala hatudanganyi sisi tu, yeye mwenyewe ni rahisi wa kwanza kudanganywa kuliko raisi yeyote alie wahi tokea nchini, alidanganywa hesabu za Tucta nae akaliambia Taifa uongo,juzi juzi kafungua bwawa fenk, juzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.