jengo la mama na mtoto hospitali ya kanda mbeya(Meta)
ni moja ya majengo yaliyojengwa kwenye hositali 7 za kanda. ni kielelezo cha azma ya mama ya kuendelea kupunguza vifo vya uzazi.
#hhaijapatakutokea
#kurayakwanzakwasamia
ifikapo tar 29 oktoba unatakiwa kuwa Makini kuangalia balot paper Yako ya chama cha mapinduzi Kisha utakwenda kuweka ✅ kwa mgombea wetu Dkt Samia Suluhu Hassan .
Oktoba tunatiki ✅✅✅✅✅
#haijapatakutokea
#KurayakwanzakwaSamia
Haijapata kutokea umati mkubwa wa wanachi kujitokeza kwenda kushiriki uzinduzi wa kampeni za ccm kitaifa ambao umefanyikia uwanja wa Tanganyika packers kawe. #haijapatakutokea #tukawashangaze
TUKAWASHANGAZE, HAIJAPATA KUTOKEA
"....kuwa sehemu ya kihistoria..., umeona mengi ila hii Haijapata Kutokea. Twendeni tukawashangaze..."
Ni Alhamis 28 Aug 2025
Tanganyika Parkers - Kawe
#Tukawashangaze
#Haijapatakutokea
Wanachi wote tunaoaswa kufahamu haki zetu kikatiba zikiwemo kushiriki uchaguzi mkuu 2025. Kufautiwa na ufunguzi wa kampeni zitakazo Anza tar 28.08.2025 tu aalikwa wote kufika viwanja vya Tanganyika packers tukamsikilize mgombea wetu katika yake aliyo tuandalia .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.