Recent content by Mnolite

  1. M

    Post za walimu zatangazwa.

    Baada ya muda mrefu hatimaye leo waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi dr shukuru kawamba atangaza ajira za walimu,kwa ngazi za cheti,shahada na stashada,waziri pia akaongeza kuwa mwisho wa kulipot vituo vya kazi ni tarehe 1 mach 2013 up to 9..hivyo kutoa matumain kwa vijana wengi ambao walikuwa...
  2. M

    Wizara ya elimu yamekuwa..........!!!

    Labda sema wewe maana pengine utasikika..
  3. M

    Suluhisho la matatizo ya ualimu ni kuacha ualimu

    Ipo siku hii kazi ya ualimu itaheshimika,na ukitaka kujua hilo omba nafasi ya ualimu uone kama utapata kwa uraisi..na kwa taarifa yenu mambo yote katika jamii hutokana na mchango wa mwalimu..mimi na haka kadgree kangu ka elimu..najua ipo siku nitaish well,hivyo kuacha fan ya ualimu sio suluhisho...
  4. M

    kWANINI SERIKALI INAFANYA SIRI KATIKA MAMBO MUHIMU NA MSINGI KATIKA MASUARA YA ELIMU MFANO POST?

    Subila yavuta heri,cha msingi ni mahitaji ya walimu yapewe kipaumbele,mfano nyumba za kuish,mishahara mizuri,na hata kuthamin mchango wa walimu katika kulijenga taifa letu..msijali soon zitakuwa zimeachiwa.
Back
Top Bottom