Kesi inarushwa live Aljazeera muda huu. Israel wanaonekana wanataka kuendelea na operation yao. Kwa KUWA Bado hawajafikia malengo yao ya kuwaokoa mateka na kuifuta Hamas.
Ibrahim (baba wa Imani) ni mkurdi. Ana asili ya Iraq. Hana asili ya Uyahudi.Alizaa na mama wa kiyahudi (Sara) na mwingine mmisri (Hajra). Alitumwa na mungu kwenda Kaanani kwa ajili ya mpango maalum. Aliwazaa Ishmael na Isaka ambao vizazi vyao viliwatoa YESU na MUHAMMAD. Yesu myahudi na Mohammad...
Masikini katika nchi ya Tanzania wapo kwenye mikoa yote sio mikoani pekee. Mpaka hivi tunazungumza Kuna watu wanalala kwenye maboksi Kariakoo nje ya maduka na wengine wanakesha na abiria stendi. Hawana hata vibanda vya nyasi.
Kuna mengi yalitokea lakini hayajulikani, kwa sababu Kuna baadhi ya vitabu vilipigwa marufuku kutumika kwa maslahi ya watu Fulani. Majibu ya swali hili yanapatikana katika kitabu Cha "MAISHA YA ADAM NA EVA" ambacho nacho kimeondolewa kwenye bibilia za sasa. Kabla ya Eva Adamu alikuwa na mke...
Kutokana na kukua kwa tekinolojia kwa sasa duniani, Wayahudi hawawezi kuzishinda nchi SITA kama zamani. Na ndo Maana sasa inakaribia mwezi Bado wanapigana na kakikundi kamoja ka kigaidi kwenye nchi Moja ya Palestina isiyo na jeshi, ingawaje Kuna kakikundi kengine ka Hizbullah ka Lebanon kanataka...
Kuna mandezi wengi wanafikiri kuwa Israel ni nchi ya kikristo. Hawajui kuwa ukristo hautambuliki ndani ya Israel na ndo maana akikutwa mtu anahubiri kuhusu Yesu na ukristo anauliwa na wenye nchi Yao (Wayahudi). Tafuteni elimu ili muelewe Dunia ilivyo, hata kwa ku-google.
Watanganyika pia tunataka tusomewe na kuoneshwa mkataba kati ya TEC na Serikali kwa kuwa watanganyika hatukushirikishwa pia kujadili na hatujui kilichoandikwa lakini Kodi za wananchi zinapelekwa makanisani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.