Recent content by Mngaza Mngaza

  1. Mngaza Mngaza

    JamiiForums Tanzania Mwongozo mpaka unafika nje kwa njia rahisi

    Upo vizuri huu uzo
  2. Mngaza Mngaza

    JamiiForums Tanzania Uombaji wa visa kwenda nje ya nchi kwa wasiojua kiingereza wanaruhusiwa kutumia kiswahili kwenye usahili?

    Mwenye uzoefu alieyewahi kuomba visa ubarozi wa france atoe msaada kama hujui kuongea kizungu wakati wa kuhojiwa inaruhusiwa kutumia lugha yako au ndio utakuwa umekosa visa hata kama document zipo kamili
  3. Mngaza Mngaza

    JamiiForums Tanzania Uombaji wa visa kwenda nje ya nchi kwa wasiojua kiingereza wanaruhusiwa kutumia kiswahili kwenye usahili?

    Mfano umeomba visa ubarozi wa ufaransa unataka kwenda paris kwenye maonesho lakini ukawa hujui english je wakati wa enterview unaruhusiwa kuongea kiswahili au ndio utakuwa visa umekosa sababu hujui lugha
  4. Mngaza Mngaza

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kupata schengen visa kupitia ubalozi wa Ufaransa Tanzania

    Unaruhusiwa kuongea kiswahili au ndio visa utakuwa umekosa hata kama document zipo kamili
  5. Mngaza Mngaza

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kupata schengen visa kupitia ubalozi wa Ufaransa Tanzania

    Kama Hujui English language Interview inakuaje ubarozi wa france
Back
Top Bottom