Hivi kuna siri gani kwa watu wenye ndimi mbili katika maisha? Nchi yetu imefika mahali si katika siasa, uchuni, mapenzi, mahusiano yamekuwa ndimi mbili. Iwe kwa mtu unaemwamini kwa kumpa siri zako, michongo yako, na matarajio yako anasaliti. Je tatizo la kusalitiwa limewahi kukukupata? Nini...