Kinachotazamwa ni sifa tu mkuu mambo mengine yapo automatically. Akiwa na sifa kisha akawa ni mzuri pia hapo patamu zaid lakin akiwa na sifa lakin si mzuri kiviiile ni bora zaid kuliko kuwa na mwanamke mzuri lakin hana sifa.i
Kuwa makin ktk usomaji na uwezo kudadavua maandishi.
Post haijatumia lugha ya moja kwa moja ila kwa mifano, na imegusia kutafuta tiba sahihi kwa kipind cha maisha yako ikiwa na maana kutafuta mwanamke sahihi anayestahili kuwa mke. MARA NYINGI wanaume ndio hutafuta wanawake wa kuingia nao ktk...
Tupo ktk zama ambazo wanawake weng hujipamba kwa uzuri wao, mapambo yao kwa kutumia mali zao, na wengine huvaa stara aidha kamili au isiyokamili ili kuwadanganya na kuwavutia wamaume kuwa nao pia wana sifa za kuwa wake kwa kuwa wanajiheshimu. Lakin ukweli ni kwamba wanaume weng wanaojitambua...
Kuna kitu wanafaidika hapo, we soma vizuri utagundua ada yako ya kujiunga ili kupata mkopo huo ndio faida yao, lakin pia ukishindwa kulipa ndani ya wakati imekula kwako na wao hufaidika mara nying zaid
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.