Recent content by mnakaven

  1. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilimpenda lakini karudi na ujauzito usio wangu

    Inshort mwanaume kakimbia
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilimpenda lakini karudi na ujauzito usio wangu

    Thanks bro nimegundua wakusaidiw n yatima sio hurum z kitoto
  3. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilimpenda lakini karudi na ujauzito usio wangu

    Inahitaji ushauri kwasababu kuna bahati mbaya na pia hata kwenye ndoa kuna wanaochepuka... inshort huyo girl friend na mahusiano naye ya mwaka na nusu
  4. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilimpenda lakini karudi na ujauzito usio wangu

    Akili inanituma nimwache kwavile ni msaliti ila ubinadamu unanifanya nimwonee huruma kwavile nilimpenda sana
  5. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilimpenda lakini karudi na ujauzito usio wangu

    Kakiri kwamba kakosea na ni dhamb pia hawezi toa
  6. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilimpenda lakini karudi na ujauzito usio wangu

    Mimi ni mwanachuo katika chuo fulani hapa Tanzania. Kuna mwanachuo mwezangu girlfriend nilimpenda nikawa namsaidia fedha ndogondogo. Wiki mbili zilizopita karudi kutoka field ana mimba sio yangu ila tuliahidiana kuoana lakini sasa yeye kaharibu, nifanyeje wakuu bado nampenda ingawa nimechukia...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Girlfriend anahitajika

    Ndiyo
  8. M

    JamiiForums Tanzania Girlfriend anahitajika

    Umri wangu 24, dini ni mkristo, elimu chuo diploma Sifa zake: Awe na 18 + upto 23 sichagui din wal kabila
Back
Top Bottom