I know you're angry! I can understand that. Lakini kuchukia wanaume wote kwa makosa ya wachache is being cruel and unfair.
Wanawake WENGI wanaingia kwenye matatizo ya abusive men kwa sababu wanafukuzia manufaa yao zaidi. Wanawake hao wapo likely kumkataa mwanamme ambae ni Respectful na badala...
Ikiwa traditional relationship imekupa mitihani basi long distance relationship itakupa wazimu. Mapenzi yana raha, lakini huyadhibiti kwake ni karaha! Being loved is easy, but loving is painful.
Kuna vitu kwenye relationship unatakiwa usifanye na wewe unaonekana unafanya tena kwa kasi kubwa...
Hapo zamani, kabla ya utandawazi, nafasi ya wanawake kwenye jamii ilikuwa wazi na walikuwa wakikubaliana nayo. Japo kuwa baadhi ya wanaume waliitumia nafasi hiyo kuwadharau na kuwashusha hadhi wanawake.
Baada ya utandawazi, wanawake finally wakaona namna ya wanawake wenzao duniani...
Kabla ya kuanza pirika za msako kwanza jiulize suali moja la msingi. Je, natafuta mwanamke mrembo wa kunipendeza ili na mimi mbele ya watu nijivunie urembo wake? Au natafuta mwanamke ambae tutasaidiana kujenga familia na future bora kwa watoto wetu? Ni vigumu sana kutafuta mwanamke mmoja kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.