Recent content by mmuni virani

  1. M

    Zitto: Rais anapojiteulia Kiongozi wa Bunge anayemtaka, mjue huko mbele Bunge litafanywa kibogoyo

    Wabunge wenye sifa ya kujua kusoma na kuandika hawawezi kuipeleka nchi popote.Zaidi ya kusema ndiyo mzee.Tutaona mengi hadi 2020.Na waTanzania tujifunze sasa.
  2. M

    Hivi Wananchi wa Mtera mmekosa Mbunge mpaka mnatuchagulia mchekeshaji? hamna matatizo nyinyi?

    Njoo uone AR.Tuachie Lema wetu Lema Lema Lema.......
  3. M

    Baada ya kusimamishwa kuhudhuria vikao vya bunge, Zitto acharuka

    Tulia ni mzigo tunaomba aliemteua amkanye anaenda vibaya kama anasikiliza ushauri wa chenge mwenzake hana cha kupoteza,ana vijisenti na yeye ndo anaanza."Akili ya kumbiwa changanya na ya kwako".JK.
  4. M

    Ally Kessy awashukia Zanzibar, Awataka Wabunge wa Zanzibar watoke nje kwa mambo yasiyo ya Muungano

    Katiba yenye rasimu ya Warioba hawaitaki,Zanzibar wanapandikiza mtu wao wanaona sawa.Huyu Kessy aache unafiki.Maana ni unafiki kama wa Tulia na kamati yake ya maadili.Mlevi aliyeingia bungeni kautwika hajadiliwi na kamati ya maadili. Eti mtu aliyeomba moongozo ameleta fujo.Tulia hivi ana mme...
  5. M

    PICHA: Waziri wa Ujenzi, Makame Mbarawa akishangaa nyumba iliyojengwa Juu ya Reli

    ARI MPYA NGUVU MPYA KASI MPYA.MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA.SASA TANZANIA YA VIWANDA!!!!!!!
  6. M

    Udhaifu wa Naibu Spika Dr. Tulia Ackson na Uhuru wa Muhimili wa Bunge

    Naibu spika hayupo kwa ajili ya wananchi yupo kwa ajili ya mteule wake.Huo ndio ukweli ulivyo.Na wabunge wajifunze kuteua kwa ushabiki
  7. M

    Magufuli: Ni Tanzania pekee mwanafunzi anapata division 4 kidato cha nne na anaenda chuo kikuu

    Kafundishe fasihi shuleni aibu kuwa double standard Rais mmoja ccm anasema wanafaa anakuja mwingine wa ccm hiyo hiyo anasema hawafai.Mnapeleka Taifa hili maskini mama Tanzania.Ndiyo maana tunataka mabadiliko toka popote.Kikwete aombe radhi kwa watanzania sasa.
  8. M

    Lissu, Zitto, Lema, Mdee, Bulaya na Gekul kuitikisa nchi kwa mikutano mfululizo!

    Kama Mzee Kingunge anaweza kuwa mtu wa kuja ndani ya ccm kwanini unashangaa ya Zito?Mtu alie andika katiba ya chama kuwa mkuu wa oganaizesheni ya chama lakini eti ni mtu wa kuja kuliko kikwete!!!! Hahaha........Siasa bwana.
  9. M

    Kauli Fupi ya Kuudhi: Upepo wa Jana Hausukumi Meli Leo

    Unakataa historia ajabu kabisa!!!!!
  10. M

    Lipumba: UKAWA imepoteza lengo kwa ujio wa Lowassa, wabunge wahongwa kumkubali

    Kama alivyopotea yeye kuacha taaluma na kweda kwenye siasa.Arudi kufundisha atulie.
  11. M

    Wapinzani watimuliwa tena Bunge la jioni

    M mzigo wewe inawezekana hauna mtoto ndo unashabikia mambo naibu spika wa serkali maana siyo wa bunge.
Back
Top Bottom