Recent content by mmsmo

  1. M

    Yanga ifungiwe na FIFA kushiriki mashindano yo yote ya kimataifa kwa kuchangia CCM!

    Najaribu kuwaza hivi wanasheria wa yanga hawakuliona hili kuwa haliluhusiwi katika soka au ni kutaka kuiingiza club katika mgogoro na fifa na ulimwengu wa soka bila sababu. "Mgema akisifiwa tembo hulitia maji". Haya tumeshayatilinganya tusubiri yajayo. Hatujifunzi tu yaliyotokea CHAN. Yanga...
  2. M

    Watumishi wa Umma tupeane ushauri kuhusu mikopo inayotolewa na Taasisi mbali mbali za kifedha

    Hiyo akili iliyokushauri kuja kutafuta ushauri ishukukuru sana wenzako tupo kitanzini hatujui tunatokaje. Bank loan is very trap kwa tulio wengi wakati milioni 80 inaingia moyo unalipuka kwa furaha tukiamini ni hela nyingi na haiwezi kuisha. Mh kila nikiangalia siamini any way mjengo...
  3. M

    Tukiyasimamia haya, mzawa angalau anaweza kujitetea kwenye harakati za utafutaji

    Kama usimamizi madhubuti ukitekelezwa na zoezi likawa endelevu. Mzawa anaweza kuona matunda ya rasilimali na fursa zilizomo nchini kwake anaweza kunufaika. Siyo haya yaliyokuwa yanaendelea mchina kuhodhi kila kitu na mzawa kujikuta ni mtazamaji. Pia soma > Aina za biashara zilizopigwa marufuku...
  4. M

    Yanayoendelea kwenye migodi yetu ni ya kusikitisha kwa wachimbaji wadogo

    "Haya madini hayaozi yaacheni siku watu wetu wakiamka na kutambua jinsi ya kuyachimba watayachimba". Hiyo ni kauli ya hayati Baba wa Taifa mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Kiongozi aliyetanguliza maslahi ya taifa lake na kizazi cha Taifa. Leo yanayoendelea kwenye migodi yetu ni ya kusikitisha...
  5. M

    Ukiwa unaishi nyumba ya kioo usiwe wa kwanza kuanzisha vita ya kuponda mawe, huo msemo una maana gani?

    Hapo kuna msingi unaotaka kuanzisha au unaulenga ili uhalalishe jambo fulani lenye mlengo wa maslahi kwenye kile unachoamini.
Back
Top Bottom