Recent content by MMS 1

  1. MMS 1

    JamiiForums Tanzania Unataka kuolewa mdada umejipanga?

    Mada ni nzuri sana, lakin ili iwe na msaada zaidi kwa kundi tajwa ni vema mtoa post ukaeleza ni kwa namna gani sasa hao wanao tarajiwa kuolewa wawe. Kama hiyo haitoshi ni vema pia ukaeleza utofauti wa msichana na hao wanao paswa kuolewa. Natanguliza shukrani za dhati.
  2. MMS 1

    JamiiForums Tanzania Karibuni Baraza la Kahawa

    Ni kweli kabisa kiongoz..
  3. MMS 1

    JamiiForums Tanzania Karibuni Baraza la Kahawa

    Hahahahaha... Umenena mkuu
Back
Top Bottom