Recent content by mmosesia

  1. M

    Haniridhishi jamani

    Pengine huyo jamaa amekusbiri kwa muda mrefu na kwa hamu kubwa. hebu mpe muda uone, kama hajachenji basi aanze kufanya mazoezi kama huwa hafanyi, na baada ya mazoezi ya muda mrefu kama wiki mbili au tatu jaribu tena. kama mambo ni yaleyale upo ushauri mwingine wa kuifanyia hiyo nanii mazoezi.
Back
Top Bottom