Recent content by MMCL

  1. M

    Tanzanite One Mining Ltd yaelekea kufilisika

    Wadawa acheni kusema watu; ongeeni kuhusu Tanzanite One!!!!!
  2. M

    Tanzanite One Mining Ltd yaelekea kufilisika

    Wanateka migodi ya wachimbaji wadogo kila siku; wanawapiga sana wachimbaji wadogo; wanawafungulia kesi; wanachukua na kuharibu miundombinu yao bila huruma. Serikali i.e wizara kimya.
  3. M

    Tanzanite One Mining Ltd yaelekea kufilisika

    Hawa jamaa wana mikakati ya kuiua Mererani wakuu!!!! Hali ni tete.
  4. M

    Pozi la suti

    ubunifu!!
  5. M

    Umeme Arusha+Mererani KUNANI??

    Kuanzia tar. 15/09/2013 umeme umekua ni tatizo kubwa kwa mkoa wa Arusha na baadhi ya maeneo ya mkoa wa Manyara especially Mererani, tatizo hili limekuwa ni la kujirudia kila mara kwa zaidi ya wiki tatu sasa, kila wadau tunapojaribu kujua nini shida, utaambiwa nyaya zimeibiwa Na ndo Tanesco...
Back
Top Bottom