Recent content by MMB

  1. M

    Mahindi 25000 Gunia Ruzuku mbolea DAP 56000 UREA loe 56000 Rukwa na haipatikani.

    Kwa maana hiyo magunia 6 yana nunua DAP na UREA bado palizi,kupanda,kulima,madawa na mavuno na ekari moja ni gunia 20.Jamani hali ni hatari hiyo mbolea yenyewe haipatikani halfu wapo busy kila siku kwenye video mbolea magari yanasambaza mikoani sijui yanapeleka kwenye vyumba vyao vya...
  2. M

    IGP Sirro: Mjadala wa Tundu Lissu kupigwa risasi ufungwe mara moja

    Kipindi lissu yupo alikuwa kimya matamko yake yalikuwa si ya vitisho.Nimemiss lissu jama haya matamko ya huyu jamaaa sidhani kama lissu angekuwepo angesubutu kuongea ongea.
  3. M

    Mahojiano ya Msigwa na Lema KTN: Serikali iongeze msisitizo kwenye somo la Kiingereza

    Jamaa wanajua mbona wanaongea weee unataka waige mpaka sauti ya huyo dada au ya wazungu ndo useme wanaongea vzr?Muwaweke mbumbumbu wenu hapo hasa mkuu wao mtaona miujiza
  4. M

    Muro: Mhe. Msigwa heri ungekaa kimya CCM ndiyo imelipa gharama ya ndege kutoka Dodoma kwenda Kenya

    Jamaaa kasoma upepo wa mtukufu kwani anapenda sifa hvyo anajua anachokifanya mbele kina faida gani kusifia katika utawala wa mtukufu.
  5. M

    Rais Magufuli afuta umiliki wa mashamba mawili makubwa, shamba la AMADORI na la Yusuph Manji

    unauhitaji baada ya mwenzio kununua,umeambiwa maeneo yamekwisha Tz sasa ndo muanze nyang'anya yawenzenu.kwa hiyo unasubr kugawiwa bure?watanzania hatupendani.
  6. M

    Dar: Ofisi ya Mawakili ya Prime Attorney advocate zilizopo upanga, imevamiwa na Watu Wasiojulikana

    Lissu aliwataka wanasheria kugoma kwa madhumuni ya kukemea hali hii lakini wakawa wabishi waliona pesa mbele kuliko maisha yao kuwa salama.Watamkumbuka Lissu juu ya mgomo wake wataendelea kupambana na watu wasiojulikana leo IMMMA, kesho Lisu, keshokutwa Wakili wa Manj,Je makesho kutwa itakuwa...
  7. M

    Wakulima wa zao la mahindi Tanzania tusahau faida

    Majaliwa alipiga marufuku kusafirisha mahindi nje ya Tanzania lakini wapo waliopinga katazo hilo na wapo waliotetea katazo hilo.Swali la kujiuliza ni sababu ya watu wanasafirisha mahindi badala ya unga? au ni sababu ya wapinzani waliwazodoa serikali msimu wa 2016/2017 njaa ilipojitokeza na...
  8. M

    Nina wasiwasi na waledi wa polisi juu ya taaluma ya sheria

    Kamanda Siro ana sema wanamkamata mtu (wanasiasa) anaetenda makosa ya jinai kisha kumfikisha mahakamani, sidhani kama wanakamata pasipo jiridhisha kupitia wanasheria wao sidhani. Wasiwasi wangu ni kama polisi hawana weledi wa wanasheria wazuri wa kulishauri jeshi la polisi na ndo maana kila...
  9. M

    Nakubaliana na Mbunge Msukuma,Lissu anapaswa kujibiwa kisiasa na CCM

    Andika msukuma na si Msukuma hana sifa ya kuandikwa kwa herufi kubwa,hivi wangepatikana wakina lissu 5 mgetoka kama wabunge,mawaziri,polisi,ikulu,usalama wa taifa,wasomi na raisi lissu lissu je wengekuwa 5 ingekuwaje jamani?lissu ni hatari.
  10. M

    Musukuma: Kuna wanasiasa wameahidiwa 10% kuweka presha ndege kuzuiwa

    hahahahaha kuna vituko duniani eti msukuma kamjibu lissu kuna watu wanachekesha sana.msukuma huku si bungeni kwamba utapigiwa makofi na mbumbumbu wenzako kaa kimya we saizi yako ni bashite
  11. M

    Msemaji wa Serikali akiri ndege mpya ya Bombardier Q 400-Dash 8 kushikiliwa nchini Canada. Awatupia lawama wanasiasa...

    [QUOTE="Martin George, post: 22959782, member: 436968" broooo,si kwmba hamna watu kama hoa sema wengi ni waganga njaa mfano prof Kabudi ulimpende akiwa nje alikuwa anapanga hoja mpaka povu linamtoka sahv kila kitu raisi ni head of state,head of gvt and command in cheif sasa mtu huyo ataongea...
  12. M

    Nioneshe marafiki wa Tundu Lissu nami nitakuonesha Oligaki, Aristrokasi na Timokrasi

    we mzeee kaa kimya lisu aliwatuma mvunje mkataba?
  13. M

    Swali fikirishi: Unapataje taarifa za ndani kuhusu nchi yetu kudaiwa kama huhusiki kuishtaki nchi yako?

    ili Mkome kufanya maamuzi yakijinga na bado mtalipa mpaka mtakoma mkiambiwa mnakuwa wabishi sasa tuone utaifa wenu
  14. M

    Swali fikirishi: Unapataje taarifa za ndani kuhusu nchi yetu kudaiwa kama huhusiki kuishtaki nchi yako?

    Umejitahidi kuandika lakini hujui ulichokiandika ila sikulaumu aliyekutuma kutetea hakujua km hujui maana ya mkataba kwa kukusaidia unapovunja mkataba nilizima uangalie nani anafaidika sasa km ulijua kuvuja ni uzalendo kwa faida ya watanzania tz kwa nini iwe siri na kulipa iwe matanga.Zaidi ebu...
  15. M

    Kutoka Tanga: Rais Magufuli awapatanisha Clouds Media Group na Paul Makonda

    Magu kafyanta mkia kwa clouds,Ruge juuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
Back
Top Bottom