Recent content by mluki milandu

  1. mluki milandu

    JamiiForums Tanzania Lowassa na Sumaye mmepoteza uongozi, mmepoteza pesa sasa mnaelekea kupoteza heshima

    Baba wa Taifa Mwl J K Nyerere alionya hatari ya kuidharau asilimia ndogo 20%iliyotaka vyama vingi.nasi leo tusibeze kundi dogo la upinzani lenye mawazo mbadala.
  2. mluki milandu

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Magufuli anasemwa sana na hawa watu wawili Gado, Kipanya?

    Ni kawaida sababu ye ndio kiongozi mkuu.
  3. mluki milandu

    JamiiForums Tanzania Makongoro Mahanga mwenyekiti mpya CHADEMA mkoa wa Ilala

    Ni vizuri mtiririko huu wa demokrasia ya namna hii ukaenda mpaka Taifani.
  4. mluki milandu

    JamiiForums Tanzania Serikali yaanza kuhujumu Mameya Dar es Salaam

    Hayo ni madhara ya kuleta mambo ya kisiasa ndani ya kazi.inatakiwa wote muwe kitu kimoja ili maendeleo yapatikane kwa manufaa ya wananchi wote.
Back
Top Bottom