Recent content by mLUGURU MBISHI

  1. M

    Mange Kimambi na wadada wa mjini ni shida

    yeah! Mange kikwetu ni mbaazi. Nakuja zimange na ng'oo lelodi. Ha ha ha! Jina limesadifu matendo akili mbaazi tupu.
  2. M

    Majaji wa TMT 2015 hawana sifa za nafasi hizo

    Ian kiboko yake Hemed. Nikikumbuka alivyomchana siku ile huwa nacheka sana alimpa ukweli wake
  3. M

    Ni nani huyu Oumilkheir wa DW!!?

    nawapenda sana hawa wanamama, Umulkheir na Zuhra Yunus.
  4. M

    Mtoto wa Aunty azua zengwe, hafanani na Moze Iyobo

    ha ha ha! It means baba waziri wa maliasili that's why mtoto kapewa jina la mnyama pori
  5. M

    Barnaba Nimekuheshimu

    yeah! Jamaa wako vizuri sana kwenye utunzi,ukisikiliza tungo zao zina vionjo vya moyo
  6. M

    Diamond amuita Jokate "makombo"

    ha ha ha! Atii kwaya ya wapi!?
Back
Top Bottom